In a deeply dillema..

anatuzuga huyu binti...keshaparuliwa mwili mzima anaumia tu ndoa imepepea...kwa vijana hawa wamjini bado tu ukute hapewi kidu.du? la hasha..kadanganye fb......................alafu nikiuaproach unasema no sex hadi nikuoe...utaoza nakwambia!!! loving somebody is risk taking.....kama kaenda basi hakuwa wako wait for urs

hehe ungejua?,pole yako,
 
Marida, If you can go through each day NOT wondering whether he is cheating on you then you can take him back. May be he has learned his lesson and wants it to work this time. On the other hand if you have doubts maybe you need to rethink the whole situation because nobody deserves an unhappy life.
Only you who can decide.

i think,this is a gud idea.
 
Mpotezee mazima, tabia hiyo huwa anatafuta mahali pakupoozea anapokosa anajisogeza ili ukampe kidude chako
Uhakika ni kwamba ata ku Do nakatabia kake kakucheat hata acha.
 
Mpotezee mazima, tabia hiyo huwa anatafuta mahali pakupoozea anapokosa anajisogeza ili ukampe kidude chako
Uhakika ni kwamba ata ku Do nakatabia kake kakucheat hata acha.

I don't think this is a good idea
 
No sex until marriage.otherwise,gals are many.There are some can wait.i dont think the definition of love=sex.is it?.[/QUO

duu inaelekea unaujua mpango wa mungu kwamba lazima uolewe, vip usipoolewa ndo utakufa na bikira yako,halafu unajua nini tabia mbaya sio kucheat tu

wapo wasiocheat illa hawezi kukufanya utabasamu hata hata sekunde moja
 
kingine marida kupigiwa simu sana haimaanishi unapendwa, au eti mtu ndo anataka kukuoa

ukifikisha miaka 30 hivi utaelewa kumbe hata zile kiss za kila siku huwa hazimaanishi kwamba mnapendana au

kuzaa na mwanaume ndo itamfanya akuoe

ninachokiona kwako ni kuhisi vitu ambayo havipo hata kidogo, unampenda wewe ila mwenzako anampenda mwingine

kwako anapenda kuchat tu na pengine u mzuri katika hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom