In a deeply dillema..

Na mimi hapa umeniacha dilema, kwamba bado unampenda na unataka umwambie aache kukucheat ili muwe wapenzi kama zamani wakati huohuo unatueleza kwamba kwake unaona giza na tayari una mwingine......... Swali,je akiwatayari kubadili tabia utawacommodate vipi wote wawili?
 
JAMANI IPO HIVI;
1. Mwanaume akimpenda mwanamke... thamani ya huyo mwanamke huongezaka kadri wanavyochelewa kuingiliana kimwili kwa mara ya kwanza. na mkisha-sexy tuu... thamani ya mwanamke kwa huyo kaka hupungua ghafla.
2. mwanamke kama alisha wahi ku-sexy na mwanaume mwingine before, then yeye ni kinyume na hiyo sentensi ya kwanza. kwa mwanamke yeyote yule "mara nyingi TRUE LOVE HUWA KWA YULE ALIYEVUNJA BIKRA YAKE".
3. Ukitaka uje teseke sana maishani mwako.... BASI MPENDE MWANAMKE(THE REAL LOVE AMBAYO IDUMU KAMA MWAKA HIVI), ALAFU AKUACHE WAKATI HAJUKUTANA NAE KIMWILI. huta kuja msahau huyo dada.

(A). Sasa dada yangu, hiyo sentensi ya kwanza ndio inayo sababisha dilema zote hizo.
(B). In reletionship, jitahidini sana msiwe mnakuwa kama tatizo kwa wapenzi wenu. Hakuna mtu apendae matatizo.

Mkuu naomba kutofautiana na wewe?
Kama thamani ingekuwa inapungua ghafla, wanaume wasiongeoa wanawake waliokwisha wamega.
wanaume wasingejenga kwenye nyumba ndogo maaana wameshawamega na hakuna mpya.

Love is not love, until it is tested!!
How do you test it?
Kulima kwenye lami?????:hand:
 
Na mimi hapa umeniacha dilema, kwamba bado unampenda na unataka umwambie aache kukucheat ili muwe wapenzi kama zamani wakati huohuo unatueleza kwamba kwake unaona giza na tayari una mwingine......... Swali,je akiwatayari kubadili tabia utawacommodate vipi wote wawili?

The new one is just a fnd tu.sijamuaccept bado as a boynd.coz i see huyu wa kwanza bado ananipenda.but cheating tu.
 
I DON'T REPLY PM!!PLEASE.ASANTENI KWA MAJIBU YENU.SOME ARE GUD SOME ARE discouraging.BUT I LEARN SOMETHING.
 
may be ur da one who is not undestand.

Mi nimemuelewa, sema anazingua tu as jamii forums hatujuani, but ingekuwa tunajuana details, ningempiga bonge la test nimpime hiyo no sex before marriage, maana kuna vijana hapa KPMG wanapenda sana challenge, tungemchukulia marida kama assigments nzito ya kutoka usiku hadi jumapili...

Kwanza angetambulishwa kote anapotaka,

Pili viela vya auditing firms hivi vingmtoa autings na vigift ambavyo hadi mashost wanaona wivu.

At the end angekuja kumegwa katika mazingira ambayo hata yeye asingekataa zaidi ya kujivua kufuli mwenyewe huku anawaza kutegesha mimba ili asikimbiwe, hayo yote yasingezidi 4 months,
By assumptions I think marida is college girl and aged between 20-25 so tumkubalie tu anayosema as haijui practical world ilivyo,
 
Nimejitahidi kufuatilia mada hii kwa umakini sana na michango ya wadau. Nilichogundua ni kwamba Marida bado ana utoto mwingi au hajielewi. Amekuwa na majibu mengi yanayokinzana tena sana.
Mara yuko dilema juu ya wanaume wawili, mara yeye ndo alimuacha huyo bf wake, mara huyo bf wake alimwambia kuhusu kucheat akajibiwa tuachane, mara alishamsahau huyo bf kitambo, mara hawajawahi kufanya sex naye,mara anahisi anapendwa ila tatizo ni kucheatiwa, mara ana mchumba, mara bado hajam accept huyo wa pili, mara anataka wabreak na bf wa mwanzo asijesababisha waachane na mchumba wake. Yaani ningekuwa kwenye pc ningequote yote anayojicontradict, lakini sasa natumia simu.
Duh! A lot of contradictions mpaka sijamuelewa anataka nini! Pole yake maana hajielewi na hajui ana nini na anataka nini.
Ukikuta mtu anakimbilia humu jf na post kama hiyo ujue anatafuta relief tu na hana lolote zaidi ya kujiploud. Zaidi utoto utakuwa unamsumbua sana, akikua ataacha.
 
nimejitahidi kufuatilia mada hii kwa umakini sana na michango ya wadau. Nilichogundua ni kwamba marida bado ana utoto mwingi au hajielewi. Amekuwa na majibu mengi yanayokinzana tena sana.
Mara yuko dilema juu ya wanaume wawili, mara yeye ndo alimuacha huyo bf wake, mara huyo bf wake alimwambia kuhusu kucheat akajibiwa tuachane, mara alishamsahau huyo bf kitambo, mara hawajawahi kufanya sex naye,mara anahisi anapendwa ila tatizo ni kucheatiwa, mara ana mchumba, mara bado hajam accept huyo wa pili, mara anataka wabreak na bf wa mwanzo asijesababisha waachane na mchumba wake. Yaani ningekuwa kwenye pc ningequote yote anayojicontradict, lakini sasa natumia simu.
Duh! A lot of contradictions mpaka sijamuelewa anataka nini! Pole yake maana hajielewi na hajui ana nini na anataka nini.
Ukikuta mtu anakimbilia humu jf na post kama hiyo ujue anatafuta relief tu na hana lolote zaidi ya kujiploud. Zaidi utoto utakuwa unamsumbua sana, akikua ataacha.

asante kwa kuwa wewe mkubwa.
 
Nimejitahidi kufuatilia mada hii kwa umakini sana na michango ya wadau. Nilichogundua ni kwamba Marida bado ana utoto mwingi au hajielewi. Amekuwa na majibu mengi yanayokinzana tena sana.
Mara yuko dilema juu ya wanaume wawili, mara yeye ndo alimuacha huyo bf wake, mara huyo bf wake alimwambia kuhusu kucheat akajibiwa tuachane, mara alishamsahau huyo bf kitambo, mara hawajawahi kufanya sex naye,mara anahisi anapendwa ila tatizo ni kucheatiwa, mara ana mchumba, mara bado hajam accept huyo wa pili, mara anataka wabreak na bf wa mwanzo asijesababisha waachane na mchumba wake. Yaani ningekuwa kwenye pc ningequote yote anayojicontradict, lakini sasa natumia simu.
Duh! A lot of contradictions mpaka sijamuelewa anataka nini! Pole yake maana hajielewi na hajui ana nini na anataka nini.
Ukikuta mtu anakimbilia humu jf na post kama hiyo ujue anatafuta relief tu na hana lolote zaidi ya kujiploud. Zaidi utoto utakuwa unamsumbua sana, akikua ataacha.
Umeonaeeee!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom