In 24 hrs how much time do you spend in jf?

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Wanajf ebu wekeni muda mnaospend jf alafu tujiulize huo muda ungespend kwenye productive issues ungeearn kiasi gani.
 
Nimeshakuelewa, unamaana jf ndio imetufikisha hapa tulipo. Otherwise Tanzania isingekuwa nchi fukara kiasi hiki! Ila bakhati nzuri vijijini hawajishughulishi sana na jf, kwa hiyo wao ni ma-tycoon.
 
naweza kuingia jf hata nikiwa kwenye shughuli zangu, si kwamba ukiingia humu huwezi fanya mambo mengine, na si lazima uketi na laptop ndo uingie jf........ Hata thr simu unaweza jimwagamwaga humu......

Anyway nipo humu 24/7, hata nikilala mkono unaendelea kuchati.......
 
BADILI TABIA well said, me huingia jf mara nyng nikiwa kwenye usafr to smwhr. au wakat nataka kulala ni kama naingia kusign out. c muda wowote unaingia tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom