improved varieties

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
habari zanyu waungwana!!! Wajameni leo nimefikiria kuhusu hawa dada zetu jinsi wanavo jitahidi kujipamba full madicoration, make-up za kufa mtu. Mawigi ya hatari, wengine wanajipiga hadi sindano ilimradi tu awe na umbo fulani. Wengine wanajikondesha, nikawaza niwadifine vipii!! Nikaona niwaite improved varieties. Wale wa kwetu kanyigo kule buhaya wanaopaka mamiis tu niwaite loko varieties. Natania tu wajomba ila nikipata nauli nitakuja dar!
 
Back
Top Bottom