Importation ya Gari-Exemption ya Kodi kwa Wafanyakazi wa Serikali

Lawkeys

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
1,118
287
Salaam!

Ninampango wa kuagiza gari ya kwanza kutoka nje ya nchi.

Nimfanyakazi wa serikali na ninajua kwamba kuna exemption ya kodi kwa wafanyakazi wa serikali.

Kwa anayefahamu habari ya exemtion naomba anijulishe yafuatayo:

(1) Exemption inahusisha kodi gani"
(2) Taratibu za kuomba exemtion;
(3) Makadirio ya muda process nzima inaochukua; na
(4) Ushauri mwingine wowote wa muhimu katika hili.

Natanguliza shukrani.

Asanteni
LawKeys
 
Huu utaratibu bado upo?
 
Nilinunua gari kwa mtu ilikuwa na exemption ishu nikataka kubadili umiliki jamaa mmoja wa Tra akanambia kuwa watakupigia gharama zote za ushuru na utalipa. sijui hili nalo kama lina ukweli?
 
Ni ukweli mkuu.
Ukinunua gari yenye exemption km ilikuwa kwenye taasisi na unahamishia umiliki kwako utalipa kodi zote zilizosamehewa wakati linaingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
angalia hiyo kama unaweza kui zoom
Screenshot_2020-12-25-09-34-10-553_com.google.android.apps.docs.jpeg
 
Salaam!

Ninampango wa kuagiza gari ya kwanza kutoka nje ya nchi.

Nimfanyakazi wa serikali na ninajua kwamba kuna exemption ya kodi kwa wafanyakazi wa serikali.

Kwa anayefahamu habari ya exemtion naomba anijulishe yafuatayo:

(1) Exemption inahusisha kodi gani"
(2) Taratibu za kuomba exemtion;
(3) Makadirio ya muda process nzima inaochukua; na
(4) Ushauri mwingine wowote wa muhimu katika hili.

Natanguliza shukrani.

Asanteni
LawKeys
Ulifanikiwa mkuu?
 
Asilimia 25 ni nyingi mkuu
Pengine labda tunapishana kwenye ukokotoaji, Ikiwezekana embu tufungue macho
Mf. Import duty ya Subaru forester 2008 SUV ni USD 996.75, Sasa 25% yake si 996.76*0.25 which is equal to 249.18.
Current exchange rate ni 1$=2340Tzs
2340*249=583'098
 
Back
Top Bottom