Immigration na jeshi la police Bukoba wanawanyanyasa wahadhiri SAUT-BUKOBA CENTRE

Mngendalyasota

Senior Member
Jan 22, 2011
171
48
WanJF,
Jambo linaloonekana kuwakera wahadhiri wasiowazawa wa BUKOBA ni kitendo cha kufuatiliwa maisha yao na wenyeji. Mtaani wananyanyapaliwa utadhani si Watanzania wenzao. Wamepandishiwa kodi za nyumba eti tu kwa kuwa wao siyo wenyeji wa huko na kuwaita 'WANYAMAHANGA.' Sasa hali iliyopo kwa sasa ni kwamba hata office ya immigration mkoa na jeshi la police wameshawishiwa na wenyeji wenzao nao wameanza kuwahujumu wahadhiri wale ambao sio wenyeji wa Kagera.
 
Hii mijamaa ni milevi ya ubaguzi dunia nzima inajulikana kwa tabia yao mbovu...bukoba wakijua wewe si wa kwao wanakufanyia kila aina ya vibweka.watumishi wengi wamekimbia bukoba.
 
Back
Top Bottom