Immanuel Mung'ong'o For BOT GOVERNOR.

aliyekuwa Makamu Wa Bot Ndiye Gavana Sasa Hivi.
Kwa Mujibu Wa Ripoti..hata Yeye Ni Muhusika Wa Epa!
Ila Wote Sasa Tunajua Style Ya Rais Ya Kuchanganya Wabaya Na Wema Ili Kuua Soo!
Mung'ong'o Ni Safi Na Apewe Hayo Majukumu Na Nina Uhakika Ataya Handle Bila Wasi Wasi Wala Woga!

Unajua Bwana Mushi Fanya Utafiti Na Maneno Yake Kabla Ya Kuandika..i Mean Have Supporting Evidence To Show Your Reports Are Accurate. Wataalam Wanasema Unapo Research You Dont Use Wikipedia As A Valid Source Of Information Na Wewe It Seems Unatumia Hio Source.

Huyu Gavana Wa Sasa Hajatokea Hapo Kabisa..ametokea World Bank, Na Kwa Taarifa Yako Hakutaka Hata Kuwa Gavana Maana He Was Making Waaaay More Than The Money He Is Making Now As A Governor. So He Is Not An Epa Monger!! Jamaa Ilibidi Abembelezwe, Na Kwanza Aliombwa Kuwa Mshauri Wa Kikwete Na Akakataa, Ndio Akapewa U Gavana. They Guy Is Very Smart..na Sio U Smart Wa Kuiba Hela Maana Hana Taimu Na Hela Ya Wana Ccm, He Is Is Smart Kichwani.

Reliable Sources (nikisema Reliable I Mean Internal) Zinaniambia Jamaa Amesema It Doesnt Matter Kama Ni Ccm Ama Nani, Kama Wanadaiwa Watalipa Tu..and He Means Business Na Kwa Kuanza Alikataza Mashangingi Kwa Viongozi Wote Bot Isipokua Yeye Na Wengine 3 Hivi Na Tayari Wafanyakaji Pale Wanaanza Kutokumpenda Sababu The Guy Is Strict Na Hataki Mchezo..sio Bilali Huyu..nilipata Nafasi Ya Kumjua Na Kumsikia Akiongea, Sio Mbabaishaji!!!!!
 
we Kuwa Bored Na Utake Time!
Kuna Thread Ya Zitto Na Zimbabwe We Nenda Katoe Maoni Huko!
Hapa Ni Maoni Ya Mustakabali Wa Taifa!
Ndulu Ni Fisadi...na Wewe Unataka Aendelee Kuwa Bot Gov?
Forces Of Evil Mlishashindwa Loong Time!
Mung'ong'o Ana Uwezo Wa Kuingoza Bot!
Kama Si Yeye...basi Pia Si Ndullu...taja Wako!
Ama Kaombe Ushauri Kwa Mkapa...atawatafutia Mwingine Kutoka Imf..na Kikwete Atamteua Makamu Wake Baada Ya Ujambazi Mwingine!
Hakuna Tena Kuchanganya Majambazi Kwenye Taasisi Zetu Muhimu Za Kifedha!
Rais Kuwarudisha Mafisadi Kwenye Uongozi Ni Uonevu Kwa Wale Wenye Nia Njema Waliomo Ndani!

Mushi Nilikua Nakutetea Nikiona Ukionewa But Nakubali Una Matatizo..fanya Utafiti Wangu..ama La Basi Na Mie Nianze Kuandika Ilimradi Nifikishe 2,000 Hapa Nipewe Hongera.

Ndulu Atakua Vipi Fisadi Wakati Kaondoka Nchini Tangu 1987 Na Karudi Juzi Alivyoitwa Kupewa U Gavana? Embu Apologize Basi Kwa Kutudanganya Mzee..kwa Bahati Ninamjua Huyu Mzee Tangu Utotoni Na I Know When Aliondoka Na Hadi Juzi Anaondoka Virginia Desemba 2007 Kurudi Kimoja Tanzania. Na Kama Ana Pesa Ni Kwa Ajili Ya Kufanya Katika Taasisi Za Maana Kama World Bank Na He Is A Respected Fella Kwenye Circles Za Washington Hapo Capital Dc.

Shukuru Una Gavana Smart Ambae Sio Mpenda Makuu..
 
kama Hujui Kama Alikuwa Kimya Au La, Kwa Nini Upendekeze Mtu Ambaye Humjui? Je Uchukuliwe Nawewe Kuwa Ni Fisadi Kwa Kuleta Jamvini Watu Ambao Huna Uhakika Nao?

Mwafrika Wa Kike I Thought Ulikua Unamuonea Jamaa Mushi Kwenye Ile Thread Yako But I Guess You Had A Reason To Maana Mmmhh!!

Mnaonaje Wana Jamii Tufunge Wote Waislamu Kwa Wakristo Wapagani Kwa Wachawi Tumwombee Jamaa Yetu Maana Kupona Kwake Ndo Faida Ya Jamii Forum!!!
 
Mushi Nilikua Nakutetea Nikiona Ukionewa But Nakubali Una Matatizo..fanya Utafiti Wangu..ama La Basi Na Mie Nianze Kuandika Ilimradi Nifikishe 2,000 Hapa Nipewe Hongera.

Ndulu Atakua Vipi Fisadi Wakati Kaondoka Nchini Tangu 1987 Na Karudi Juzi Alivyoitwa Kupewa U Gavana? Embu Apologize Basi Kwa Kutudanganya Mzee..kwa Bahati Ninamjua Huyu Mzee Tangu Utotoni Na I Know When Aliondoka Na Hadi Juzi Anaondoka Virginia Desemba 2007 Kurudi Kimoja Tanzania. Na Kama Ana Pesa Ni Kwa Ajili Ya Kufanya Katika Taasisi Za Maana Kama World Bank Na He Is A Respected Fella Kwenye Circles Za Washington Hapo Capital Dc.

Shukuru Una Gavana Smart Ambae Sio Mpenda Makuu..

Mafisadi wakamatwe!
Kwani hata Ballali si alijulikana?
Watuhumiwa wa EPA bado wamo humo ndani!
Jk kalikoroga everywhere!
Hajakamata mafisadi!
The whole institution needs revamp!
Maoni yangu ni maoni kama ya mtu yeyote.
Unaweza ukammpendekeza unayefikiri ni safi!
Bado tunahitaji mabadiliko na nchi iko njia panda!
Si lazima unisupport!
Get it?
 
Mushi Nilikua Nakutetea Nikiona Ukionewa But Nakubali Una Matatizo..fanya Utafiti Wangu..ama La Basi Na Mie Nianze Kuandika Ilimradi Nifikishe 2,000 Hapa Nipewe Hongera.

Ndulu Atakua Vipi Fisadi Wakati Kaondoka Nchini Tangu 1987 Na Karudi Juzi Alivyoitwa Kupewa U Gavana? Embu Apologize Basi Kwa Kutudanganya Mzee..kwa Bahati Ninamjua Huyu Mzee Tangu Utotoni Na I Know When Aliondoka Na Hadi Juzi Anaondoka Virginia Desemba 2007 Kurudi Kimoja Tanzania. Na Kama Ana Pesa Ni Kwa Ajili Ya Kufanya Katika Taasisi Za Maana Kama World Bank Na He Is A Respected Fella Kwenye Circles Za Washington Hapo Capital Dc.

Shukuru Una Gavana Smart Ambae Sio Mpenda Makuu..

Asafishe hao mafisadi kina DDDD ETC!
We unakuja kichwa kichwa hapa jf!
Nenda kasome ripoti ya EPA kabla hujaparamia mambo hapa maana utatoka nishai!
 
JIBABAZ HUNA HAJA YA KUMPA SUPPORT MTU!
KARIBU JF!
HAPA ni hoja kwa mwendo wa mbele!
Taifa zima liko njia panda na wewe unaleta habari za Ndullu!
Mimi nina uhakika atapigwa chini 2010 na tunaanza kuweka majina ya watu ambao wana mwelekeo wa kizalendo!
Whats wrong with that?
Ndulu alipowekwa hapo na kikwete na huku kikwete ni fisadi...Hapo si utata tu?
 
Mushi Nilikua Nakutetea Nikiona Ukionewa But Nakubali Una Matatizo..fanya Utafiti Wangu..ama La Basi Na Mie Nianze Kuandika Ilimradi Nifikishe 2,000 Hapa Nipewe Hongera.

Ndulu Atakua Vipi Fisadi Wakati Kaondoka Nchini Tangu 1987 Na Karudi Juzi Alivyoitwa Kupewa U Gavana? Embu Apologize Basi Kwa Kutudanganya Mzee..kwa Bahati Ninamjua Huyu Mzee Tangu Utotoni Na I Know When Aliondoka Na Hadi Juzi Anaondoka Virginia Desemba 2007 Kurudi Kimoja Tanzania. Na Kama Ana Pesa Ni Kwa Ajili Ya Kufanya Katika Taasisi Za Maana Kama World Bank Na He Is A Respected Fella Kwenye Circles Za Washington Hapo Capital Dc.

Shukuru Una Gavana Smart Ambae Sio Mpenda Makuu..

Hizo sifa za kiballali ballali...Mh!
Tena usinikumbushe kwa kutaja hizo taasisi hapo juu!
Halafu tena umemalizia na WASHINGTON DC?
KWELI KARIBU JF!
HIVI UNAJUA UKITAJA VITU KAMA "GORVENOR" WASHINGTON AT THE SAME TIME UNAKUMBUSHIA MACHUNGU YA BALLALI?
 
Huko DC Ndiko alikopotelea Ballali...Na yeye ametokea huko?
Na si ndiyo yeye aliyepewa taarifa tata za kifo cha ballali na yeye kumpa kikwete?
Yani kama Ballali hata hakuwa mtanzania kabisa!?
Kiasi cha habari zake tata za kifo,kupotea ama kuwekewa sumu kupitishiwa kwa watu flani flani akiwemo Ndullu.
Kwanini mnataka taasisi zetu za kifedha na nyeti ziendeshwe kifisadi kiasi hiki?
Ameshatoa taarifa ya hao watoto wa vigogo waliokuwa wakichunguzwa namna walivyopata kazi?
Badala yake si ameaanzisha uchunguzi kwa kila mfanyakazi kwa vile amebanwa na hao watoto wa mafisadi?
Huyo Ndullu ni mwezetu kweli huyo?
Tunataka waliotokea TANZANIA!
TUNATAKA WAZALENDO....AND YES I SAID...IMMANUEL MUNG'ONG'O FOR BOT GOVERNOR!
 
Jmushi1,
Je, kwa kupitia report ya EPA iliyowekwa hapa few days ago na kwa kuzingatia taratibu za kumpata Governor kama ilivyoanishwa na Mhafidhina ktk page ya awali kabla ya hii ni sababu gani hasa ambazo unaweza tuelimisha nasi ili tukubaliane na mtazamo wako?
 
Ni kweli sasa wameigeuzia udini!
Sasa kuwa na dini flani ama flani kama kuna determine nafasi zetu za kazi na wala si qualifications...Basi tuna shida!

sioni kama hii issue ina udini hata chembe
kwanza Ndullu na Mung'ong'o wote ni watu wa dini moja... kinachofanya topic iende on and on and on ni ile fact that mushi hataki kukubali kuwa yuko nje ya points. fact is Ndullu amerudi tz mwaka jana na alifanya kazi for tokea june 2007 na former governor till jamaa alipougua mwezi wa nane. kwa hiyo issue ya wizi hauwezi kumuunganisha nayo

kuhusu ripoti ambazo u are expecting him to broadcast to the media, he cant do that because u ask him. he will do so if instructed by his elders au kama sheria inaruhusu/inahitaji hayo. kuna mambo mangapi ya kiutendaji yanafanyika ktk serikali au mashirika mengineyo (public or private) ambayo yatabakia mikononi mwa wahusika. if relevant mtaona mnapewa majibu accordingly. usiwe kama mwandishi wa udaku kubeba mambo juu juu expecting utaonekana uko clever or something.

ooh alinifundisha maths, mimi nimefundisha watu maths secondary sch.. does it mean i am a good candidate for the post? ndullu mwenyewe kisha lecture mlimani so if that is a factor then he is the 1....soma tena vile vipengele vilivotolewa then appreciate kazi ambazo wenzio wanafanya... la mwisho punguza jazba!!
 
Mushi nakushauri fikiria kwanza kabla ya kuandika post tatizo lako unataka kushinda kila mada,punguza jazba Mkuu
Unaandika post hata 5 kwa dakika kwa dakika 8 hivi unasoma na kutafakari hoja za wanaJF wengine
Unampigia debe huyo jamaa kwa kuwa kakufundisha Maths,na mimi nimpigie debe Mwalimu wangu wa Uchumi awe waziri wa fedha?
Sifikiri kama GAVANA ana matatizo kwani si kateuliwa baada ya BALALI au alikuwepo tangu enzi za Balali?
 
Wakuu naomba muniwie radhi!
Nimetoa insight yangu na wala si kwasababu tu alinipiga tuition!
Namfahamu ni mtu safi!
Ndullu simjui!
Ila nilishtushwa na yeye kuwepo huko ballali alikopotelea!
Sina maana ya upotoshaji.
Ni pendekezo tu.
Na kama hoja hii haifai...Then muiache hii thread ijifie zake kifo cha kawaida hapa jf.
Tuendelee na mjadala wa mustakabali wa nchi!
Hii thread itafufuka mara baada ya kumpata Kiongozi wa nchi mzalendo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom