IMFIKIE MADAM WEMA NA WADADA WENGINE MFANO WAKE

Abuu Said

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
4,010
4,748
duu.jpg

Wakati madada wetu wa Kibongo na Afrika wakishindana kununua Magari makali na Mavazi ya gharama wakumbuke na haya km huyu dada wa kizungu alivyofanya.
 
sio wadada peke yao hata sis wanaume tusaidie watoto wenye uhitaji na wasiojiweza
Nimemuongelea Madam km mdada anaetafta kick kwa vitu visivyokua vya msingi km anatafta umaarufu mzuri wa kujulikana around the world afanye mambo km haya social activities sio kujicholesha na Mimba hewa kwenye magazeti na kujionesha ana hela nyingi.....
Pia kwa kuwa yeye anatafuta furaha ya mtoto sio lazima azae yeye kwenye tumbo lake endapo atamchukua mtoto km huyo akamlea kwa upendo na malezi bora mtoto atamthamini na kumuona km mama yake.
CHUKUA HIYO MADAM SEPETUNGA
 
mia
 
View attachment 408315
Wakati madada wetu wa Kibongo na Afrika wakishindana kununua Magari makali na Mavazi ya gharama wakumbuke na haya km huyu dada wa kizungu alivyofanya.

Hii picha haina uhalisia kabisa..! Yule mtoto pale Nigeria alishakuwa mtu mzima kiasi, huyu aliyebebwa anaonekana mdogo sana... mteke mteke kabisa..

Yule mweusi, huyo mweupe tena point 5!

Huu ni uongo wa mchana kweupe
 
Shida zilimkomaza so kaenda kwenye mazingira mengine yenye baridi na kula vyakula vyenye virutubisho
 
Rahisi sana ni kuelewana kati yako na wazazi wa mtoto kukiwa na watu wa ustawi wa jamii pamoja na serikali especialy polisi.
Haruhusiwi kuja mdai mtoto baadae? Maana nchi nyingine mtoto huwa anachukuliwa akiwa mchanga, na wazazi huwa hawakutani na anaemchukua mtoto. Wao humwacha kwa serikali Ustawi wa jamii na anaemchukua huja kumchukulia hapo serikalini... kuepusha migogoro ya baadae...
 
Back
Top Bottom