FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,188
Tafadhali soma jedwali hapo chini.
Mwaka wa Fedha Mapato ya ndani (Shillingi) Fedha za Wahisani (Shillingi) Jumla ya Bajeti (Shillingi) Asilimia ya Wahisani kwenye bajeti (%) Asilimia ya mapato ya ndani kwenye bajeti (%) 2010 – 2011 8.3 trillion 3.2 trillion 11.6 trillion 28% 72% 2011 – 2012 6.7 trillion 3.9 trillion 13.5 trillion 28% 49%
Wewe au Mkullo anatuambia nini hapo juu? Kwani bajeti iliyopita aliahidi by 2015 dependency yetu kwa wahisani itashuka to under 10%; kwa sasa ipo at 28% kwa two financial periods mfululizo. Based on the table above, inahitaji akili zipi za ziada kujua kwamba June 2012 Mkullo atakuja bajeti yenye Aid dependency above 28%? Kwani ishara ipo wazi – angalia mwaka wa 2010 – 2011 mchango wa wahisani ni 28% of the budget na mchango wa mapato yetu ya ndani on the budget ni 72%; then mwaka wa fedha 2011 – 2012 wahisani bado wapo at 28% in terms of mchango wao kwenye our budget, lakini mchango wa mapato yetu towards the budget yameshuka from 72% (2010 – 2011) to 49% (2011 – 2012); Je unafahamu the remaining 33% ya fedha towards bajeti yetu ya 2011 – 2012 imetokea wapi? imetokana na among other things, mikopo toka mabenki yetu, pesa za pension funds za wafanyakazi wetu ndio maana malipo ya wastaafu ni vurugu tupu; Pia imetokana na selling of government securities and bonds ambazo hata hivyo kwa sasa hazina thamani ya maana kwa wanunuzi kwani serikali imechacha kiasi cha kutovutia hata hizo securities;
Hakuna shaka kwamba given uchwara wa uchumi wa Mkullo na Ndullu, in the coming financial year, tutarudi kwa donors tena kwani kama BOT wana nia nzuri na uchumi huu, lazima waiambie serikali kwamba sasa basi, hakuna hela huku BOT na punguzeni kutegemea mabenki ya biashara kwani by doing so serikali inazidi dry up the liquity ya private sector hapa nyumbani na hivyo kupelekea less and less money to be available for capital/investment in the economy kitu ambacho kitazidi shusha GDP growth; Cha ajabu ni kwamba BOT badala yak u deal na fiscal problems za serikali ambazo ni moja ya vyanzo vikubwa vya inflation (kwani 60% ya bajeti inaenda kwenye posho na misharaha na malipo ya makampuni za tender); na badala ya BOT kushughulikia mzunguko wa M-PESA ambao ni 50% ya jumla ya mzunguko wa pesa nchini, BOT inaendelea kuwaogopa wamiliki wa VODACOM na hivyo not to bother to regulate M-PESA; Jumla ya M-PESA transactions ni 20 billion shillings a day, jumla ya transactionz zote za mabenki Tanzania ni 20 billion shillings a day; sasa BOT wanapoenda kupandisha interest rate and cash reserve requirements za commercial banks maana yake si they are just dealing with 50% of the cash in the economy a kuacha the 50% under MPESA kufanya watakavyo? Uchumi gani huu kama sio uchwara; hatua za BOT juzi zinaumiza tu private sector bure wakati tatizo kubwa lipo kwenye upande wa matumizi ya serikali;
Na bajeti ijayo, dependency on foreign AID kwenye bajeti itapanda tu from the current level of 28%, ndio maana David Cameroon anatamba na condition yake ya ‘ushoga' because he knows hiyo 28% unayomsifia Mkullo dada yangu faiza itarudi juu; tusubiri June 2012 bajeti ya 2012 – 2013 tuone;
Sasa hiyo dependency ifananishe na kabla ya kikwete uone ilikuwa ngapi. Nakuambia siku zote wacha pumba, atakuja, atakuja, mimi nataka reality sio hypothesis. Ukisema atakuja na hili na lile useme pia na mapato mapya yanayotarajiwa ambayo kabla ya October yalikuwa hayajulikani au huyajui hayo? sasa kama unayajuwa ongeza na hayo halafu useme atakuja.