imevuja:kitongoji alichofikia mkapa huko arumeru hakina maji ya bomba

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
katika uchunguzi wangu binafsi nimegundua kuwa mzee mkapa amefikia kwenye hotel ambayo haijaunganishwa kwenye ''gridi ya maji'' ya taifa.hapa namaanisha huo mtaa ambao viongozi kadhaa wamefikia kwa ajili ya kampeni arumeru mashariki hauna maji ya bomba.kwa wale mlioko arumeru mashariki jaribuni kwenda maeneo hayo na mjionee ukosefu wa huduma ya maji ya bomba.kila siku ni ahadi tu,mwisho wa siku hata wale watoa ahadi wanaumbuka.
 
Back
Top Bottom