Imevuja: Jokate anaishi na Hasheem Thabeet

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
12,893
15,632
Kuna habari ambazo zimevuja katika website moja inayokwenda kwa jina la www.u-turn.co.tz kwamba Miss Joketi Mwegelo amemfuata Hasheem marekani na kuishi nae. Habari yenyewe iliandika hivi

MISS AHAMIA MAREKANI KUISHI NA HASHEEM THABEET....
Golden boy Hasheem thabeet yuko deep in love na binti wa kibongo. Mapenzi hayo yalianza mienzi michache iliyopita hasheem alIvyokuwa dare s salaam, Kwa macho yangu nilikuwa nikimuona huyo demu( ambae alikuwaga miss Tanzania number 2 miaka michache iliyipota)
Akiwa na hasheem kwenye kiwanja cha basketball cha mlimani, yani demu alikuwaga anamsubiri hasheem hapo basketball court karibia kila siku . Na kwa sasa dada huyo yupo Memphis,Marekani akiishi kama mke na mume na Hasheem Thabeet.
Nimeipenda sana couple yao sababu inaonekana ni mapenzi ya kweli,Hasheem katulia sana kwa sasa haoni wala hasikii juu ya huyo binti na binti na yeye kaacha shughuli zake bongo kamfata jamaa marekani,binti pia ni msomi ndio kamaliza university mwaka huu,alikuwa anasoma sheria pale mlimani.

Hasheem alinicheki kwenye simu usiku wa kuamkia leo na kuniambia kuwa huyu mtu anayemiliki hiyo website ni muongo kabisa. Namnukuu Hasheem
"Joketi ndio ni rafiki yangu tokea nikiwa Bongo ila kwa sasa hata mimi nasikia yuko Marekani so siishi nae wala nini hizi ni habari za kizushi

chanzo djchoka blog
 
So what waacheni waishi cha ajabu ni nini?
 
wivu au nini mbaya acha wale malaha maisha yenyewe haya yakufisadiana...bora wajilie kwa raha zao...
 
waache wasonge na maisha kwa sasa cha muhimu kwetu ni uchaguzi na kumchagua slaa
 
Miye sioni chochote kibaya, kama ni kweli nafurahia kamchukua mbongo mwenzie badala ya kuchukua mtasha/mweusi wa huko huko. Hawa ni wagumu sana kuelewana nao na ukiweka tamaduni zetu zilivyo tofauti nao basi mahusiano huwa hayadumu kwa muda mrefu.
 
Mi nafikiri kwa sasa mada ni kile kinachokwenda kufanyika tarehe 31 mambo ya mamis kwa sasa tuache kwanza. Mamiss wapo tu cha msingi tuone tunashirikiana kurudisha nchi kwenye mstari
 
Unacheza na good time za NBA basket ballers???ndo maana mtoto kaingia line, Ila Jokate ndo nimempoteza hivyo, i was in love with her, sema asingenikubali manake mkwanja kama wa Hashimu sina:doh:
 
Mi naifagilia hiyo, sisi kwa sisi mzunguko wa hela urudi Bongo. Thabeet congrat kujali wa hapa hapa
 
Kuna habari ambazo zimevuja katika website moja inayokwenda kwa jina la www.u-turn.co.tz kwamba Miss Joketi Mwegelo amemfuata Hasheem marekani na kuishi nae. Habari yenyewe iliandika hivi

MISS AHAMIA MAREKANI KUISHI NA HASHEEM THABEET....
Golden boy Hasheem thabeet yuko deep in love na binti wa kibongo. Mapenzi hayo yalianza mienzi michache iliyopita hasheem alIvyokuwa dare s salaam, Kwa macho yangu nilikuwa nikimuona huyo demu( ambae alikuwaga miss Tanzania number 2 miaka michache iliyipota)
Akiwa na hasheem kwenye kiwanja cha basketball cha mlimani, yani demu alikuwaga anamsubiri hasheem hapo basketball court karibia kila siku . Na kwa sasa dada huyo yupo Memphis,Marekani akiishi kama mke na mume na Hasheem Thabeet.
Nimeipenda sana couple yao sababu inaonekana ni mapenzi ya kweli,Hasheem katulia sana kwa sasa haoni wala hasikii juu ya huyo binti na binti na yeye kaacha shughuli zake bongo kamfata jamaa marekani,binti pia ni msomi ndio kamaliza university mwaka huu,alikuwa anasoma sheria pale mlimani.

Hasheem alinicheki kwenye simu usiku wa kuamkia leo na kuniambia kuwa huyu mtu anayemiliki hiyo website ni muongo kabisa. Namnukuu Hasheem
"Joketi ndio ni rafiki yangu tokea nikiwa Bongo ila kwa sasa hata mimi nasikia yuko Marekani so siishi nae wala nini hizi ni habari za kizushi

chanzo djchoka blog

Hapo penye nyekundu umedanganya mkuu alika anasoma Political Science and Public Administration.
 
kama naona mtoto wetu akizaliwa sijui atamfwata baba ama mama kazi kwako bibie tule dili la pili marekani..msakizie fasta huyo tall ujihakikishie dollers hizo...kila la kheri wote na maisha mema
hilo2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom