imetokea mara tatu,,,,

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
nisaidieni nimshauri rafiki yangu
amekuwa akisimamisha bunduki yake vizuri kabla na wakati akiwa na msichana.....lakini akiwa anamuandaa msichana kwa ajili ya ku...do bunduki inakataa kabisa kusimama...au inaweza ikachukua masaa mawili hadi matatu kucmama.
jamani hili ni tatizo gani? atumie dawa gani? au afanye nn?. nsaidieni wa JF wenzangu.
 
asije akawa anataka kula uroda na dem/mke wa mtu au mtoto wa ndundami?? ohoooo inawezekana hilo analokutana nalo ni onyo 2 akijifanya king'ang'anizi ndiyo haita simama milele shauri yake.
 
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.
Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya

dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo
wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya

kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao
za kufanya mapenzi.

Mwambie anapokuwa anataka kuja huyo mpenzi wake Atwange Mdalasini kipimo cha kijiko kimoja na Achanganye na Asali kijiko kimoja anywe kabla ya nusu saa kisha akutane nae huyo mpenzi wake wacheze huo mpira wao mambo yatakuwa mazuri.
 
nisaidieni nimshauri rafiki yangu
amekuwa akisimamisha bunduki yake vizuri kabla na wakati akiwa na msichana.....lakini akiwa anamuandaa msichana kwa ajili ya ku...do bunduki inakataa kabisa kusimama...au inaweza ikachukua masaa mawili hadi matatu kucmama.
jamani hili ni tatizo gani? atumie dawa gani? au afanye nn?. nsaidieni wa JF wenzangu.
umevyoandika utadhani unamsemea mtu, kumbe we mwenyewe..teh teh teh..ngoja niwapishe wataalamu watakusaidia
 
nisaidieni nimshauri rafiki yangu
amekuwa akisimamisha bunduki yake vizuri kabla na wakati akiwa na msichana.....lakini akiwa anamuandaa msichana kwa ajili ya ku...do bunduki inakataa kabisa kusimama...au inaweza ikachukua masaa mawili hadi matatu kucmama.
jamani hili ni tatizo gani? atumie dawa gani? au afanye nn?. nsaidieni wa JF wenzangu.

Mbona unaonekana unahitaji msaada sana wakati shida ipo kwa rafiki yako? Kama ni mumeo au ni wewe sema utapata msaada mzuri zaidi. Maana Kama ni mtu na mkewe inategemea wameishi muda gani? Pengine miaka mi4 alafu imekataa Mara 3 utasema huyo anahitaji dawa kweli? Au ndo mara ya kwanza amekutana na demu? Panga hii story yako ieweke! After-all kitu Kama hicho sio kigeni kwa wanaume! Hayo matatizo huwa yanakuja na kuondoka, Kama limedumu continuously hapo ndo utahitaji matibabu! Pia pengine unamkatata stim mnapokuwa kwenye oral ndo maana mtarimbo unalala doro! Kwa hiyo jiangalie na wewe pia!
 
Tatizo lako ni dogo sana. Unachi hitaji ni kujaribu kuondoa fikra zinazo kuathiri wakati unataka kujamiiana. Sifahamu unafikiria nini wakati huo lakini inathibitisha kuwa huyo jamaa ni mzima ila kuna psychological disturbance ambayo inamfanya aondokewe na hisia. Try again and dont fear and finnaly think of the enjoyment you would be missing if you dont acomplish penetration. Come see me and I will help you.
 
nisaidieni nimshauri rafiki yangu
amekuwa akisimamisha bunduki yake vizuri kabla na wakati akiwa na msichana.....lakini akiwa anamuandaa msichana kwa ajili ya ku...do bunduki inakataa kabisa kusimama...au inaweza ikachukua masaa mawili hadi matatu kucmama.
jamani hili ni tatizo gani? atumie dawa gani? au afanye nn?. nsaidieni wa JF wenzangu.

anakameruniwa huyo, mwambie aache ujinga huo mara moja
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom