imetokea kuamkia leo hii:risk za mpesa

mama dunia

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
420
84
jamani yaani ndugu yangu kuamkia leo hii kaporwa na watu/majambazi ambao inaonekana wamemfatilia kwa kipindi fulani, walikua na taxi ambayo ilikuwa imepak pembmneni ya kijibaRABARA then after kumpiga na kuchukua hela gari ikaoNDOka nduki sana, yeye ana kakijibanda ka mpesa, wamempiga hadi sasa ana maumivu bado, ilikua usiku, karibia na kwake wakati ndo katoka katika hiyo biznez, kuweni makini sana yaani WEZI wanArudisha sana maendeleo nyuma.
 
Mpe pole. Lakini pia kama mtu unakuwa na hela nyingi sana ni vema ukakodi taxi kuliko kutembea kwa mguu usiku halafu na hela nyingi
 
Mpe pole. Lakini pia kama mtu unakuwa na hela nyingi sana ni vema ukakodi taxi kuliko kutembea kwa mguu usiku halafu na hela nyingi

hili ndo tatizo la wabongo,una milioni mfukoni kukodi taxi elfu 10 unaona hasara!!sasa kaokoa nini!!!
 
Siku zote nawaambia ubahili siyo ishu. Mimi simpi pole huyo mkaka au mdada ila naomba ajifunze kutokana na hayo yaliyompata. Juzi mwanangu mmoja kapata kipigo kutoka kwa majambazi akiwa katokea disco usiku mkubwa na kuporwa pesa zote zilibakia na hii ni baada ya kukataa kulipa tsh. 5000 kwenye taxi.
 
rekebisha topic subjectt,sio risk za m-pesa,ni risk za huyo jamaa.....ni ubahili usio na sababu....angechukua hata toyo basi,tungejua angalau anajali,wenzake wajifunze.na wewe ukiwemo.
 
Back
Top Bottom