Imeokotwa

hirizi hiyo,
wanadanganywa sana MKUU, si ajabu humo kilichowekwa kikawa majivu au mchanganyiko wa majani basi. halafu mhusika unaaminishwa kuwa itakusaidia, si ajabu moja ya sharti utakalopewa ni kufanya kazi kwa bidii. Ukifanikiwa unasahau bidii yako ktk kazi, unaisifu hirizi. Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya ndiye kinga yake

waganga wengi ni watu wa saikolojia sana. Jamaa bila shaka kaambiwa apige mzigo kama punda
 
Hapo Lazima Milioni kadhaa zimemtoka, na Ku-iservice kila wakati gharama kibao.
 
Natumai huyu bwana aliyedondosha hii kitu atakuwa kayumba sana kiuchumi kwa sasa
 
Back
Top Bottom