Imeokotwa

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,741
07122011133-001.jpg
Hii kitu imekutwa maeneo. Mwenye kuimiliki tafadhali wasiliana nami

attachment.php
 

Attachments

  • 07122011135.jpg
    07122011135.jpg
    28.2 KB · Views: 292
wanawekewa wadudu..! halafu yale madudu yakiwa yanapumua wanaambiwa hirizi inapumua...! yani watu wanadanganywa kweli..!
 
basi hao waliokuwepo hio situ ukienda kuwauliza,watakavyoruka kimanga???lol
 
watu bwana!! sijui humo ndani huwa wanaweka nini.
hirizi hiyo,
wanadanganywa sana MKUU, si ajabu humo kilichowekwa kikawa majivu au mchanganyiko wa majani basi. halafu mhusika unaaminishwa kuwa itakusaidia, si ajabu moja ya sharti utakalopewa ni kufanya kazi kwa bidii. Ukifanikiwa unasahau bidii yako ktk kazi, unaisifu hirizi. Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya ndiye kinga yake
 
Back
Top Bottom