Imeniuma sana

Duh!! Babra pole na maswaibu ya rafiki yako, kumbe na Wasukuma wamo ngoja nishtuke mapema.

Lily sio wasukuma wote, mie langu halijawahi hata kunipiga kofi, huyu G anasema ni chipolopolo mana ka mix......
 
Lily sio wasukuma wote, mie langu halijawahi hata kunipiga kofi, huyu G anasema ni chipolopolo mana ka mix......
yaah!
hao ni wasukuma-chipolopolo!...
wasukuma kwa maana ya wasukuma nawafahamu:
-wanawanyenyekea sana wanaume
-wanajua kupenda

mimi huwa nawatania kwamba THEY ARE VERY SOLUBLE..!wanajua ku-dissolve:D
 
No way mkuu; kuna action we have to be silent but not on this Man; Na kama ulivyosema Silence means alot It can mean anything! How do you tell kuwa umesamehewa na yeye anajihakikishieje kuwa umejutia action yako na hutarudia hilo kosa; unless hiyo isiwe mara ya kwanza kwa maana amezoea kukutana nazo; don't take this lightly Chief!

Mkuu unajua unasahau ile sheria namba moja....baba hakosei! Sasa wife akiona uko silent wakati 'baba hakosei' basi kinakuwa kimeeleweka. Pili mkuu kuna body language...kama kitu bado kimemkaa rohoni utaona tu si mtu wako....lakini akisamehe instantly utaona mambo yako shwari. Pia mkuu usi-underestimate sometimes kaudhaifu kapo....nyumbani sio mahakamani kusema unatafuta haki bali maridhiano

Huyu jamaa mi binafsi simuungi mkono.....kitendo cha kupiga wife sio kizuri na hakina tija. Ukiangalia jinsi ambavyo amesababisha hata kifo cha mtoto just kwa jambo ambalo aliweza kuli-handle kiutu uzima.....inatia hasira
 
unajua wanawake wakiona wameolewa wanajisikiaaaaaaa, sasa tuombe Mungu atoke hospitali salama na atakuwa ameshka adabu ya mbwa mwizi

Unajua ni rahisi sana kutoona kosa katika hili la huyu bwana kama uonavyo wewe kwani unajiona kuwa haikuhusu; sio nduguyo wala si dada yako! Pengine hata.........
 
Unajua ni rahisi sana kutoona kosa katika hili la huyu bwana kama uonavyo wewe kwani unajiona kuwa haikuhusu; sio nduguyo wala si dada yako! Pengine hata.........

sikia mkuu, unategemea mwanmke walivyofika nyumbani alifunga kadomo kake?

wanawake niwajuavyo mimi, alifungulia kadomo kake-stereo hadi mwisho wa volume kumsema mzee, naye mzee akatumia haki yake ya kuzaliwa kumdhibiti, ndiyo matokeo hayo ya kukimbizwa hospitali. hao ni wanawake wenzake hawasemi yote kwa kumlinda mwenzao,

dawa ni mikong'oto tu. zamani kulikuwa na mikong'oto kibao na walisjhika adabu, sasa tangu mmeleta haya madudud ya beijing, hata itandani unasikia anakusukuma!!!!!!!!!
 
aisee umeniongezea hacra na comments zako.
 
ah, huyu naye katoka wapi? yani hata maneno yako yanaonyesha kichwani hata hiyo akili hamna. nalihurumia hilo lidemu lako

looh...........

demu langu linatanua, usipime!!!!!!!!!!!! nilishalishikisha adabu sasa tunaelewana, nimeliacha bongo, na mimi huku nabeba maboksi. nikirudi bongo na kukuta linamegwa namaliza mtu!!

ni haki yangu ya kuzaliwa bana. na ngoja nikamate hela, mtanikoma!
 
sikia mkuu, unategemea mwanmke walivyofika nyumbani alifunga kadomo kake?

wanawake niwajuavyo mimi, alifungulia kadomo kake-stereo hadi mwisho wa volume kumsema mzee, naye mzee akatumia haki yake ya kuzaliwa kumdhibiti, ndiyo matokeo hayo ya kukimbizwa hospitali. hao ni wanawake wenzake hawasemi yote kwa kumlinda mwenzao,

dawa ni mikong'oto tu. zamani kulikuwa na mikong'oto kibao na walisjhika adabu, sasa tangu mmeleta haya madudud ya beijing, hata itandani unasikia anakusukuma!!!!!!!!!

Akili kichwani na mwanaume mwenye akili kichwani angekubali kosa na kuomba msamaha na kama mwanamke bado anaongea mume alipaswa kukaa kimya au kuondoka akisubiri hasira ya bibie ipoe. Lakini kumpiga ni under-low kabisa kwani mwanamke yule kakosewa na kusema ni haki yake- mie ningemtoa sikio kwa meno au ningekamata yale mahang-over yake aende akakandwe huko huko kwa hawara yake.
 
mke ilikuwa zamani, siku hizi hakuna tofauti ya mke na demu, yote ,ademu tu, adabu kidogo sana!!

mmh! ngume ku-comment, lakini haiwezekani kuwa sawa ndani ya nyuma, lazima kuwe na baba na mama......na gender roles tofauti.
Tatizo kama wote mnataka kuwa na roles sawa! that is to say......kwenye nyumba kuna maridhiano tu ambayo yanaweza yasimpendeze mwingine ikambidi akubali bila complains
 
Akili kichwani na mwanaume mwenye akili kichwani angekubali kosa na kuomba msamaha na kama mwanamke bado anaongea mume alipaswa kukaa kimya au kuondoka akisubiri hasira ya bibie ipoe. Lakini kumpiga ni under-low kabisa kwani mwanamke yule kakosewa na kusema ni haki yake- mie ningemtoa sikio kwa meno au ningekamata yale mahang-over yake aende akakandwe huko huko kwa hawara yake.

MJ1 ucnichekeshe bwana...
 
Akili kichwani na mwanaume mwenye akili kichwani angekubali kosa na kuomba msamaha na kama mwanamke bado anaongea mume alipaswa kukaa kimya au kuondoka akisubiri hasira ya bibie ipoe. Lakini kumpiga ni under-low kabisa kwani mwanamke yule kakosewa na kusema ni haki yake- mie ningemtoa sikio kwa meno au ningekamata yale mahang-over yake aende akakandwe huko huko kwa hawara yake.[/QUOTE]

Mmmmhh!!! hapo ndo ndoa inapokuwa tamu!!
 
Inakuwaje kama hii sms ilikuwa ndo toka kwa xg/f wa huyo jamaa ambae alikuwa nae kabla ya huyo wife? Si mnajua mahawala iwa hawaachani kamwe wataendelea kumegana.
 
usihic kuwa kuna lingine zaidi ya haya ninayoyaeleza...haya 2songeshe na thread ma bro.

Umesahau ule msemo wa kikwetu kuwa 'mdomo uliponza kichwa'. Kusema tu kuwa mara baada ya kuuliza then kurudi nyumbani vibao na mangumi......too good to make sense
 
looh...........

demu langu linatanua, usipime!!!!!!!!!!!! nilishalishikisha adabu sasa tunaelewana, nimeliacha bongo, na mimi huku nabeba maboksi. nikirudi bongo na kukuta linamegwa namaliza mtu!!

ni haki yangu ya kuzaliwa bana. na ngoja nikamate hela, mtanikoma!

He wenzio tulishazikamata siku nyingi na kwa taarifa yako utawakomesha mademu wa uswahilini ambao wamezoea kuchuna wa maana wote wanazo za kwao. Unatilishaaaa!!
 
Back
Top Bottom