Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Mkuu pole sana
Hapo una option mbili baada ya kulitekeleza hili la KUACHANA NAE ambalo ni lazima ulitekeleze. Ukiendelea nae utajikuta siku moja unaozea Segerea maana majibu anayokupatia ukiwa nae karibu unaweza ua bila kukusudia.

Option1: Achana nae na usioe tena maishan mwako, unaweza kuzaa watoto wengine lakini usioe mama zao na ukawalea. Tahadhari hapa ni huu, watoto walelewe na mama zao na wewe utoe huduma, wakililewa na house girls itakuwa majanga.
Option 2. Tulizana, tafute mke mwingine ili uone. Tahadhari, usioe kea kupanic wala kumkomoa huyo mzazi mwenzio. Tatua tatizo lako linalokukabili la kuwa na mke malaya na jeuri, usije ukajikuta unapata janga zaid ya hili kwa kukurupuks
umeongea point sana kaka
 
Kaka Binafsi ni nadra kutoa ushauri humu jamii forum huwa mara nyingi napitia tu comment za washikaji tu, but kwa incidence yako hii imenibidi niongee kitu coz binafsi this is real story and not fictions as compared to some others here!! Pole Sana, jikaze kiuanaume, it's in my understanding that you are going through very serious psychological disputes for somebody you traded the whole of your life perspective and to whom you choose as your better behalf,someone called a spouse!!! Pole sana!!
Ushauri wangu:there is zero marriage compliance left in your wedlock, she has chosen that life and It as harder as you to let her back and comply with you, no respect she can give you and it seems she is very much disgusted with something in your wedlock affairs, she can give and throw those shits, insult you and give all of thrush words simply because she has nothing value left and that's why She has even gone far beyond the the moral principal and unethical ways to a extent she can decide to move with her little dad, pathetic, brother let bygones go, you will internally develops worries following your decision to quit and go to start your new life in her absence, it's very hard for your heart to let it go in easier way but this is where you can stand and support your standings, there is nothing left more important to you more than PEACE OF MIND, the moment you decided, the moment it's very progressively she wears out of your mind, in a time you will fell and worth living in her absence and that's the moment you will realise that everything is possible whatever the harder the circumstance !! Muache kabisa, take your kid and move on, God has planned something very incredible for you and your kid in near future believe me. Thanks
 
Asante sana kaka Technology gives us power, but it does not and cannot tell us how to use that power. Thanks to technology, we can instantly communicate across the world,
 
Binafsi mm nikishajua mke wangu anatembea na mtu fulani hata nyege nae sitozipata, chukua hatua tafuta mwanamke mwingine, kama amekuwa na kiburi cha kiasi hicho kuwa lazima atiwe basi na atatiwa sana kama hutojali tafuta wako huyo si wako, na baada ya muda mfupi ujao yeye mwenyewe atakuja kukuomba msamaha kwani huyo baba mdogo wake hatoishi naye! Na usikute huyo baba mdogo wake analipiza kisasi pia so huyo mwache! Tena hata mahali na ndoa bado,, acha uzuzu basi!
 
Kaka achana nae dunia itamfundisha wala ucmtendee baya lolote cha msingi endelea kumtunza mwanao kwa kumuhudumia vuzur na uctake kupambana na huyo mwanamke tena kuwa bize na mambo yako time will tel...pole sana
 
pole sana kwa ujinga wa kusomesha mtu ambae huna ukoo nae,nadhani jambo hili ndio sana litakuumiza kuzidi yote piga moyo konde nenda mbele
 
Bora hela za kumsomeshea ungenunua mbwa mkuu,angekuwa mlinzi nyumbani kwako akalipa fadhila kuliko hiyo Mwehu.
 
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni
Hiyo mahari peleka ila Mwoe dada ake akulele mtoto wako.
 
Acha kula chips yai dogo, utatohombewa mpacha uichukie "K" buuuuure!
REMEMBER:HAINA USHEMEJI TUNAKULAGA TU!
 
Pole mkuu...hawa viumbe si kuwaamini kiivyo.mpige chini tafuta mwingine na lea mtoto wako.
 
Pole sana. Sisi ni washauri tu lkn mwisho maamuzi unayo wewe mwenyewe kwn wewe ndy unamjua umuhim na ubaya wake mkeo.cha msingi pata tafakali ya kina na ufikie maamuzi unayoyapenda mwenyewe ambayo yatakupa amani ya moyo.kosa lake linakuwa kubwa kwa kuwa ni bb yake mdogo lkn mpk unapogundua ameshatembea na wangapi na pengine umewahi gundua lkn mkafunika kombe mwanaharam apite,.jipime amua mwenyewe
 
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni
Sina mengi ya kusema ila huyo sio mke wa kuoa ,kwa vile hata mahari hujatoa achana nae mapema huyo atakupa shida maishani.ukimng'ang'ania utajuta
 
Pole sana kaka,naomba ushukuru mungu kwa yote yaliyotokea kwa sababu ungeoa mwanamke asiye chaguo lako.Jipange tafuta mke mwingine huyo humuwezi kama anatembea na baba yake mdogo hafai
 
Sina mengi ya kusema ila huyo sio mke wa kuoa ,kwa vile hata mahari hujatoa achana nae mapema huyo atakupa shida maishani.ukimng'ang'ania utajuta
Mwanzo nlipata wkt mgumu sana lkn sasa na sahau na maisha yanaendelea
 
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni

KAMA HUJATOA MAHARI SIO MKEO ...WATAKAOATOA MAHARI WATAOA
 
Mimi ningebeba mdogo wake tena wa mwisho. Napiga mimba na naoa moja kwa moja halafu kimyaaaaa. Maana kama mahari unayo tayari na hiyo familia unaifahamu. Na wanajua tabia za huyo mwanamke wako...nadhani watakupa baraka za kutafuna kondoo yoyote zizini.
 
Back
Top Bottom