imenisikitisha

Duh...Kumbe wanaume tuko watamu hivi?Nilikuwa siamini ila leo nimeamini,yaani mpaka watu wanafikia kutoana ulimi!!!!!!!Pole zake mhanga wa tukio hilo mungu atamtia nguvu na kumponya haraka.
 
aaaaaah,hatujazoea jamani mambo ya kutoana damu msiweke madude haya hapa please
 
Back
Top Bottom