Imenikuta live

Complicator EM

Senior Member
Dec 20, 2011
155
39
Nikiwa kwenye gari nasafiri nimepanda hiace.
Mimi: konda samahani nataka kujisaidia.
Konda: Jisaidie tu kwani nani kakuzuia mkuu, au unataka nikusaidie mimi?
Mimi: Konda namaanisha nataka kuchimba dawa.
Konda: Unaumwa nini mkuu na umejaribu dawa zote za hospitali zimeshindwa?
Abiria wote: Aaaaagh, konda simameni tuchimbe dawa bwana.
Dereva: Haya andaeni majembe yenu basi karibu tunafika penye dawa za kienyeji.
 
Yaani nimecheka sana, yaani sikutegemea kucheka asubuhi hii, pole sana kwa majibu ya wahudumu hao, ndo mzunguko wa maisha.
 
Nikiwa kwenye gari nasafiri nimepanda hiace.
Mimi: konda samahani nataka kujisaidia.
Konda: Jisaidie tu kwani nani kakuzuia mkuu, au unataka nikusaidie mimi?
Mimi: Konda namaanisha nataka kuchimba dawa.
Konda: Unaumwa nini mkuu na umejaribu dawa zote za hospitali zimeshindwa?
Abiria wote: Aaaaagh, konda simameni tuchimbe dawa bwana.
Dereva: Haya andaeni majembe yenu basi karibu tunafika penye dawa za kienyeji.
Yaani nimecheka sana, yaani sikutegemea kucheka asubuhii hii, pole sana kwa majibu ya wahudumu hao, ndo mzunguko wa maisha.
 
nikiwa kwenye gari nasafiri nimepanda hiace.
mimi: Konda samahani nataka kujisaidia.
Konda: Jisaidie tu kwani nani kakuzuia mkuu, au unataka nikusaidie mimi?
Mimi: Konda namaanisha nataka kuchimba dawa.
Konda: Unaumwa nini mkuu na umejaribu dawa zote za hospitali zimeshindwa?
Abiria wote: Aaaaagh, konda simameni tuchimbe dawa bwana.
Dereva: Haya andaeni majembe yenu basi karibu tunafika penye dawa za kienyeji.

hapo kwenye red! Kajifunze kiswahili kwanza halafu urudi kupost tena uzi wako!
 
Nikiwa kwenye gari nasafiri nimepanda hiace.
Mimi: konda samahani nataka kujisaidia.
Konda: Jisaidie tu kwani nani kakuzuia mkuu, au unataka nikusaidie mimi?
Mimi: Konda namaanisha nataka kuchimba dawa.
Konda: Unaumwa nini mkuu na umejaribu dawa zote za hospitali zimeshindwa?
Abiria wote: Aaaaagh, konda simameni tuchimbe dawa bwana.
Dereva: Haya andaeni majembe yenu basi karibu tunafika penye dawa za kienyeji.

bluuu.... hapo uyo konda nouma mmh majibu balaa.
 
Ni joke ndio, lakini mimi haijanifurahisha zaidi ya kunisikitisha kwani mhusika anadai ni kitendo kilichotokea. Sikitiko langu linakuja kwenye mazingira kama tungekuwa na utaratibu wa kuweka huduma hizi ktk barabara zetu hiyo ya kuchimba dawa mstuni na kuharibu/ kuchafua mazingira yasingekuwepo.
 
Nikiwa kwenye gari nasafiri nimepanda hiace.
Mimi: konda samahani nataka kujisaidia.
Konda: Jisaidie tu kwani nani kakuzuia mkuu, au unataka nikusaidie mimi?
Mimi: Konda namaanisha nataka kuchimba dawa.
Konda: Unaumwa nini mkuu na umejaribu dawa zote za hospitali zimeshindwa?
Abiria wote: Aaaaagh, konda simameni tuchimbe dawa bwana.
Dereva: Haya andaeni majembe yenu basi karibu tunafika penye dawa za kienyeji.

Bora kama hukujinyea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom