Imenikuta katika kutafuta kazi

Unajua wadogo zetu mnatafuta ajira kwa udi na uvumba.....na mtu anayetumia mbinu hii ya kuwatapeli.....naombeni tushirikiane kwa pamoja....ipo siku tutawanasa tu...
Tuanzisheni kikundi maalumu cha jobseekers JF na wenye mapenzi mema na JF job seekers ambacho kitakuwa na viongozi mtaowachagua.....na kuwajulisha taarifa kama hizi kwa pamoja tutawakamata tu!
 
Back
Top Bottom