.....imempenda ...hata mama yangu mzazi naye!

Take care mwenzako usijekuta anaenda kujazia vimasikio!!

lol...hahaha. nilimaanisha ambane huyo bf kuwa hapendi io ki2. pia uyo maza akishajifungua atajua ss kama ni mimba au kulikuwa na zaid ya mimba. angalizo; Aendelee kumuambia bf wake kuwa anachukiza na io hali.
 
kabisaaa ila analeta kisingizio cha MIMBA IMEMPENDA
kama anafahamu shost fanya hima MULIKA MWIZZZZZZZZZZZI tena na tochi kubwa mana loh! kwann asipende waliokueko hapo mpaka kaja wako ndio kamfia loh! na akienda kwake anajitia ohh! nataka maji ya ndimu basi bf wako anamkamulia mara nataka uninyoshe mgongo na siku atataka kusaidiwa kuongezewa njia kabla ya kujifungua je hilo utakubali asaidiwe kisa mimba inataka loh!
 
lol...hahaha. nilimaanisha ambane huyo bf kuwa hapendi io ki2. pia uyo maza akishajifungua atajua ss kama ni mimba au kulikuwa na zaid ya mimba. angalizo; Aendelee kumuambia bf wake kuwa anachukiza na io hali.
MPAKA asubiri ajifungue si watakua washafanya mengi sana jamani .................au labda iwe ndio waliandikiwa huko juu mbinguni kua wataend 2geza la sivo shost changamka utakuta mwana si wako mana wabeba mabox wengi wanapenda mamama sijui kwann???
 
Dada samahani;
hivi hiyo mimba siyo ya huyo bf wako? Si umesema huyo mama hana mume? Dadangu shtuka unaibiwa mchana kweupeeeee. Hakuna cha mimba kupenda wala nini ni ujanja tu wa bf wako kwenda kupooza; si unajua wajawazito wanajoto sana.
Vipi msimamo wa bf wako? Je ukimwambia hupendi anavyofanya hata hashtuki? Au mama kakuzidi ujanja uleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?
 
He! Mpwa na wewe umeshajiunga na JF! Ngoja nimwambie mama yako, huku hapakufai bana..................!
 
Mmmh,hapo kweli wanapaswa kuchangia wadada /wamama.
Wengine naskiaga kwamba mimba imependa udongo,wengine mimba
zinachukia kuona wageni nyumbani nk.
Sijui ukweli wake,lakini kama ni hivi naomba tu mke wangu mimba yake
ije kumpenda Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom