Imekaaje hii ya James Ole Millya kuteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya?

Status
Not open for further replies.
Jamani Msiwe mnakurupuka tu, mnaboa nyie vitoto..... Huyo Milya yupo kwenye list ya Wakuu wa Wilaya ya zamani, msipaparuke.... Hivi mnafikiri Viongozi ni mbumbumbu to that much....no.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom