Imekaaje hii ya James Ole Millya kuteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya?

Status
Not open for further replies.

akelu kungisi

Senior Member
Apr 2, 2012
115
19
Nimeliona jina la kamanda huyu kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya katika vyombo vya habari vyote.
Ninachofahamu ni kuwa mtu yeyote kabla hajawa mkuu wa wilaya huwa anaarifiwa mapema kwa minajiri ya kukubali au kukataa uteuzi huo. Taabu ninayoipata ni kuwa huyu jamaa ni juzijuzi tu kajiunga na CDM kwa mbwembwe nyingi sana, wengi wetu tulikuwa na mashaka kuwa ametumwa kwa kazi 'maalumu' lakini tulishambuliwa mno kwa muono huo.
Leo hii huyu bwana kateuliwa na Chama alichokuwa anakikandia kuwa kimepotea.
Wakuu, ni punguani tu ndiye anaweza kuamini kuwa huyu bwana hakutumwa CDM kufanya kazi maalumu!
My take;
CDM kwa mara nyingine tena kuweni makini na wavu wenu kwani chandarua yenu ina vitundu vinavyoruhusu nyuki kupita kwenda ndani kung'ata na hata kumuangamiza mtoto anayekua! Na hapa ni wengi waliopenya.
 
Hayo ni majina yanafanana tuu si yule aliyejivua gamba na kuvaa gwanda. Waandishi wa habari walimuuliza PM jana juu ya jina hilo na hayo ndiyo yalikuwa majibu yake. Kama una uhakika kwamba PM kadanganya tena, leta ushahidi hapa.
 
Kuna James Ole Millya wana undugu na huyo , alikuwa mkuu wa wilaya ya Monduli kama sijakosea ..siyo huyo aliekwenda CDM..
 
ni JAMES K.O. MILLY sio huyo wa CDM ambaye wewe unamfahamu!!!!!!!!!!!!
 
Nchi hii ya ajabu sana,badala ya kuangalia weledi na utendaji mzuri wa mtu,tunateua viongozi wa kupigia makofi wakuu wao na kushabikia chama badala ya kusimamia maendeleo,hivi vyeo vya wakuu wa wilaya na mikoa vifutwe tu havina tija hata kidogo,ni kuongeza tu matumizi ya fedha kiduchu za umma.
 
Kikwete alivyo na roho ya kisasi unadhani angempa huo ukuu wa wilaya

Kwa kweli hata mimi nilishtuka kidogo, yani jamaa kavaa gwanda juzi tu then Leo Jk ampe ulaji kilaini hivyo? Haiwezekani sio Jk huyu WA Magamba.
 
Ningeshangaa sana.
Huyu Millya wa CDM anafaa zaidi kuliko huyo aliyeteuliwa na JK.... Lakini kwa kuwa kigezo cha kuwa mkuu wa wilaya ni kuwa Kada wa Magamba ndio maana wanaingia hata wasio na sifa kuchukua fadhila za JK. Hapo kuna Expense ya ziada kununua V8 na mishahara ya watu 133 wasio na kazi inayopimika. Hawana hata work plan wala objectives ndio maana wengi hugeuka wafanyabiashara au wahujumu uchumi.
 
nchi hii ya ajabu sana,badala ya kuangalia weledi na utendaji mzuri wa mtu,tunateua viongozi wa kupigia makofi wakuu wao na kushabikia chama badala ya kusimamia maendeleo,hivi vyeo vya wakuu wa wilaya na mikoa vifutwe tu havina tija hata kidogo,ni kuongeza tu matumizi ya fedha kiduchu za umma.

wewe james ole millya ni huyo huyo kwani awali alikuwa mkuu wa wilaya ya longido wakati huo akiwa mwenyekiti wa uv-ccm, kwa kweli mm ni kada wa cdm ila nawaomba wanacdm pamoja na viongozi wa cdm kuwa makini na huyo bwana kwani katumwa kuja kugombea arusha mjini kwa cdm then akipata wafuasi arudi kwa magamba so cdm be carefully kwa huyu bwana
 
Millya alieingia CDM hajawai kuwa mkuu wa wilaya. Hivyo huyo anaezungumziwa ni kweli anamajina yanayofanana na ndo alikuwa Mkuu wa wilaya ya Longido na anaendelea kubaki longido.

Back
Top Bottom