Imekaaje hii wadau

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
12,011
10,163
598715_10151169654692180_556825505_n.jpg


Itabidi tv zetu ziwe na link na mwili ili ukijilaza kwenye sofa na yenyewe inajilaza kidogo, kasheshe mkiwa wengi sijui itakuaje
 
Na akilala chali itabidi tv ijiinue iwe inamtizama

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
zitakuja we subiri tu kwani kuna kitu cha shindikana dunia hii
 
Back
Top Bottom