Imefahamika

Fraddle b

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
222
18
Leo katika kipindi cha SUPER MIX EAST AFRICA RADIO,alikuwepo seleman msindi AFANDE SELE amezungumza mambo mengi tena kwa uchungu kwa mfano amesema kuwa harakati za kupinga virus wa huu mziki alianzisha yeye pamoja na Sugu,baada ya hapo sugu alienda marekani yeye akabaki na harakati hzo,lakini baadae walikuja wengine ambao tunawajua kama mapacha,mkoloni,dan msimamo,soggy na wengine wengi,lakini baadae akashangaa wakaacha kumpa ushirkiano,mfano kwenye show za vinega aliwapigia simu mkoloni,na soggy kwa wakati tofaut wakawa wanampa moyo tu ,hadi kuna kipind soggy,akamwambia show yenyewe hata yy afande asipokuwepo haina shida,AFANDE akampigia sugu,sugu akamwambia yuko bize kama vp awaone soggy na mkoloni ambao walikua wanamzingua
Ikumbukwe soggy na afande wana ugomvi muda mrefu baada ya soggy kusema afande hakustaili kuwa mfalme wa rhymes
Pia anadai kila mtu pale kwenye kundi la vinega alikua anataka awe karibu na Sugu
kwa hyo walivyozid kumzingua pia kutomuweka kwenye matangazo ya vinega cku moja akapigiwa cm na clouds wakamwambie aimbe nymbo 3 halafu anapewa milioni 1 akakubali kwa kuwa wenzie ndo walimtenga yeye,na mwisho akasema hata sugu analijua hilo,kwamba pale kwenye kundi kuna watu hawampend afande sele na akampa big up kuimba kwenye show ya clouds,kuwa ndio ilikua movement yenyewe kupata pesa nyingi
 
umri wote ule kwenye game anapewa milion nashndwa kupata picha kwa kina tht, dogo janja , bibi cheka, na wengne akina naenda kusema kwa mama.
 
umri wote ule kwenye game anapewa milion nashndwa kupata picha kwa kina tht, dogo janja , bibi cheka, na wengne akina naenda kusema kwa mama.

anakwambia hajawai kupewa pesa kama ile asikudanganye m2 dogo janja,asley hawapewi hata kilo 2,so milioni 1 cyo mchezo
 
scan.... Scan....(50%) scaning... Scan....(75%) scan.... Scaning c0mpleted 4 100% a virus with tha name ruge has been detected and killed... Anti-virus vinega pr0gram has been used in scaning..!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom