Imeandikwa...

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,510
11,271
ya kwamba uzuri wa mtu ni tabia yake pamoja na matendo yake na wala siyo muonekano wake. Amini amini nawaambia, kama mtu hana mvuto kwa nje, basi ana wakati mgumu sana kuweza kupata wasaa wa kuionesha tabia yake na matendo yake "mazuri"..

Happy Friday.

Mapendo.

amin....na iwe kama unenavyo mtumishi....
 
Imeandikwa "wasiosoma ni chakula cha wasomi".
Chakula chakula ama?

Imenenwa na kuandikwa " Mla, Huliwa"
Mh, Mkuu zamu yako ilishafika? i mean umeshaliwa?

Imeandikwa kuwa "mficha uchi hazai"
Imeandikwa kuzaa siyo kazi, kazi kulea

IMEANDIKWAA NA KUNENWAAA..utakulaaa ulipo peleka mbogaaa
Hii kali..

amin....na iwe kama unenavyo mtumishi....
Ameeeeeeen, Haleluya... Niaje aisee!

Haijaandikwa kuwa Chairfire niharamu
Fo shoo!

Imeandikwa, Enyi wagalatia mmerogwa? Nani aliyewaroga?
Imeandikwa kuwa Kongosho anahusika..

Imeandikwa asiyefanya kazi na asile!
Imeandikwa kula ni kula, mbaya kukomba mboga..
 
Imeandikwa enyi wanaume mtatafuta/kula kwa JASHO nanyi wanawake MTAZAA KWA UCHUNGU
 
Back
Top Bottom