Imani na upendo wako...

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
...nalipa kwa matendo yangu! Huwa 'nashindwa kushangaa' na mambo haya. Yamekuwa matangazo mengi ambayo mwisho wa siku hujulikana kuwa na makosa, sina haja ya kuyataja. Hili la mwanamke kutoa uroda kutokana na just kukingwa mvua inakuwaje. Yani hana kingine cha kutoa? Wanawake amkeni sasa. Matangazo mengi yanawadhalilisha
 
We ndo hujalielewa tangazo. Tangazo linaonyesha wapenzi wawili wakitoka sehemu, mara mvua inaanza kunyesha. Jamaa kuonyesha jinsi gani anampenda mpenziwe, anaamua kushea koti alilonayo, na hasa baada ya kumwona akijikunyata kwa baridi.

Mwisho wa siku baada ya kufika homu, wakaamua ku "do". Sa hata kama ungekua wewe mko homu na kuna baridi ungeangalia video?
 
wale wanafanya kazi sehem moja, sasa wametoka mvua ikawafuma ndo jamaa eti kuonyesha anajali akamfunika. Ndo wakaamua kwenda kwa jamaa. Ugomvi wangu ni huko kujhrahisisha. Kukingwa mvua tu unatoa? Je angenunuliwa gari ingekuwaje? Still, matangazo mengine senseless
 
Mjomba Mziwanda acha kutafsiri kivyako....

Nilivyoelewa mimi ni kwamba wale ni wapenzi na kama unamjali mwenzako basi utamlinda.
 
Mziwanda!

Umeniacha hoi, unahisi bibie baada ya kukingwa mvua akatoa shukrani ya aina hiyo kwa huyo kaka?
Eniwei,nilivyolielewa mimi ni kwamba wale ni wapenzi,wametoka mahali(kama siyo office na nguo zao) halafu wakanyeshewa na mvua na mwanaume kuonyesha anajali akamkinga mpenziwe. Na kwavile walifika wote nyumba moja na ni wapenzi wakala raha zao. Hujawahi kunyeshewa na mvua wewe ukiwa na mamsapu?Siyo inyeshe mnaiona hapana,mpo kabisa kwenye mvua chapachapa!!!?? ha ha
Kitu muhimu pale ilikuwa ni kukumbuka kutumia kondomu hata kama wamepatwa na mhemko kiasi gani. Inawezekana wewe ulipata tafsiri tofauti kitu ambacho ni kawaida maana watu wote hatuwezi kufanana mawazo/maoni juu ya kitu fulani.
 
wale inaonyesha wanafanya kazi ofisi moja au jengo moja na si wapenzi. upenzi umekuja katika kulipa fadhila tu. yale ni mavazi ya kazi. nadhani inatakiwa mamlaka kama tbs kukagua matangazo pia. maana kama inafika wakati Rais anapinga tangazo unategemea nini. matangazo mengi yana walakini. kuna lile la supermarket (sijui limeishia wapi) eti wadada wanachagua matango, tena makubwa hayo! too much!
 
Back
Top Bottom