Imani haba miongoni mwa waumini.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jambazi mmoja aliingia kanisani akiwa na bunduki mkonon,akasema,''haya wanaosema wanampenda yesu wabaki humu wasiompenda watoke nje,ndani akabaki mchungaji na wazee.''jambazi akamgeukia mchungaji akamwambia,''mtumishi,unaweza kuendelea na ibada,me nlitaka kukuondolea wanafiki tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom