Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
CDM kamwe msiwe kama CCM wanaoshindwa kuchukua maamuzi magumu ya kufukuza magamba hata baada ya siku 90 Kuisha. Mafisadi pia imeshindikana na wauza sembe ndio tusiseme kwan m/kiti katia list mfukoni.
 
kuhama kwake sidhani kama kutaharibu chochote as long as kwamba nia yake ipo pale pale !


Tunawahitaji sana member kama hawa jamani............wako wapi jamani?
Wawepotelea wapi jamani?

Ni member muhimu sana jamvini na haswa jukwaa lengwa.

Hakuna mwenye nambari yake?
 
Mh ZZK nje ya CHADEMA ni sawa na samaki nje ya maji. Umaarufu wake wa kisiasa kwisha habari yake.
 
Mh ZZK hakuna nafasi ya uenyekiti wa chama taifa hata ukihamia vyama vingine,wamekushtukia uwezo wako wa uongozi ni mdogo. Unapenda kujikweza sana,umimi umekujaa bila kuthamini jitihada za wenzako. CCM wamekuambia hadi miaka15 ndani ya chama,ndo wakufikirie kukupa nafasi ya uongozi watakayoona itakufaa wewe,labda ubalozi nyumba kumi.Kwa ujumla hawakupendi,wanakutumia kwa mambo yao,na ukifukuzwa CDM ,wewe na siasa basi.
 
Zitto akihamia chama chochote cha upinzani umaarufu wake utapanda sana na atapata wafuasi wengi wa kumfuata mimi ni mmoja wapo
 
Zitto akihamia chama chochote cha upinzani umaarufu wake utapanda sana na atapata wafuasi wengi wa kumfuata mimi ni mmoja wapo
Unafiki na Usaliti ni hatari sana kwa maisha ya binadamu. Hata shetani alikuwa anaishi kwa Mungu, alipofanya unafiki na usaliti Mungu alimuamulu akaishi moto. Lakini kwa kuwa alikuwa na wafuasi wake nao wakamfuata na hadi sasa wengine wanamfuata. Hivyo nendeni tu huko mlikojiandalia makazi WASALITI MASALIA.
 
Chama cha siasa kisipofanya mikutano ya hadhara nadhani kinaweza kisiwe chama cha siasa, utaratibu mzuri wa kuwafikia wapiga kura wengi ni kufanya mikutano ya hadhara. Na hilo la watu ku maarufu ktk chama haliepukiki na huwezi kulizuia, muhimu ni mtu maarufu kutumia umaarufu wake ktk kukijenga chama na si kujijenge yeye binafsi kwa maslahi yake binafsi. Mrema alikuwa maarufu toka ccm akahama na umaarufu wake, tofauti na CDM wale waliomaarufu wamepata umaarufu kupitia CDM na wamepata umaarufu wa kuongea na si wa kiutendaji kama Mrema. Maana kusema bila Vitendo hakuna maana. Zito anaweza kuhamia ccm kinachoweza kumpa umaarufu ni vitendo na si maneno tena bila hivo hatakuwa na tofauti na akina Dr Lamwai na wengine wengi waliokufa kifo cha kawaida ktk siasa za Tanzania.
 
Tunawahitaji sana member kama hawa jamani............wako wapi jamani?
Wawepotelea wapi jamani?

Ni member muhimu sana jamvini na haswa jukwaa lengwa.

Hakuna mwenye nambari yake?

Kweli waje kuchangia huu ----- unaoandikwa na wengi wa members wa siku hizi? Mtu anachangia toka tumboni na sio kichwani.

Niliuliza swali humu naombeni ushahidi wa makosa ya Zitto. Angalia majibu utakayopewa na "great thinkers".
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom