Imagine Kila Mwanaume Angepewa Fursa ya Kuumba Mwanamke Atakayemwoa!

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Wadau,
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu suala hili. Je, ingekuwaje endapo Mwenyezi Mungu angetoa fursa ya kila mwanaume kujiumbia mwanamke ambaye hatimaye atamwoa ingekuwaje? Ungepewa wewe fursa hiyo ungeumba mwanamke mwenye appearance au mwonekano au umbile gani? Nauliza appearance kwa sababu najua kwa upande wa tabia kila mtu atasema mwenye tabia njema na mwenye heshima na bidii ya kazi, n.k.
 
Mungu asingetoa fursa hiyo cz wanaume wangejisifu wenyewe kwa uumbaj na c Mungu ila nafkiri una tatzo mayb umeumizwa o umetafta sana mpenz umtakae bila mafanikio ebu appreciate uumbaj wa Mungu amin yupo m2 aliyeumbwa kwa ajil yk..
 
Mungu asingetoa fursa hiyo cz wanaume wangejisifu wenyewe kwa uumbaj na c Mungu ila nafkiri una tatzo mayb umeumizwa o umetafta sana mpenz umtakae bila mafanikio ebu appreciate uumbaj wa Mungu amin yupo m2 aliyeumbwa kwa ajil yk..
Beb, UMEWAZA mbali.... Kingcobra, ongea vizuri na beb...
 
Last edited by a moderator:
Wadau,
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu suala hili. Je, ingekuwaje endapo
Mwenyezi Mungu angetoa fursa ya kila mwanaume kujiumbia mwanamke ambaye
hatimaye atamwoa ingekuwaje? Ungepewa wewe fursa hiyo ungeumba mwanamke
mwenye appearance au mwonekano au umbile gani? Nauliza appearance kwa
sababu najua kwa upande wa tabia kila mtu atasema mwenye tabia njema na
mwenye heshima na bidii ya kazi, n.k.

ungeanza wewe bro,how will she look like!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom