IMAGINE......and think.

Top Thinker

Senior Member
Sep 8, 2011
183
125
Kiongozi kapelekwa south kwa matibabu zaidi baada ya unyama aliofanyiwa.
Mimi kama mwananchi wa kawaida natafakari ingekuwaje kama wangefika africa kusini na kukuta kuna mgomo wa madaktareee.
Au itakuwaje madokta wa huko bondeni wakiamua kugoma wakat ndugu yetu yupo ICU katikati ya matibabu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom