I'm thankful

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
to any one who did not make his/her own feelings/ mind as his/her God

Let all together be negative against the so call CCM, coz is so dangerous
in our Peaceful life in our genaration's future, humanically, phisically,
mentally and environmentally
 
Na sasa hivi wanasema mgombea wa dema katumwa RC! Mungu tuepushie hila hizi

basi huyo alotumwa na RC maana anaonekana kulipenda sana taifale
kuliko yule alotumwa ioc, maana ni mdhalilishaji wafanyakazi
mlopokaji, mtu asojua anaongea nini, hahaaa, heheee!
 
hivi kwa nini mtu uendelee kuvaa nguo ilochafuka?
tena nguo ilo toboka toboka na kuchoka,
wakati uwezo wa kubadirisha unao,
tena hapahitaji mijeredi,

samahani lakini, mimi kwa upande wangu miye,
mtu ambaye huifagilia sisi emu huwa na mashaka na ufahamu wake,

ccm na kikwete, ni heri hata ya kandambili za msalani zitakufaa kwenye tope
 
"hivi kwa nini mtu uendelee kuvaa nguo ilochafuka?
tena nguo ilo toboka toboka na kuchoka,
wakati uwezo wa kubadirisha unao,
tena hapahitaji mijeredi,"

Elezea msemo huo hapo juu, kwa kutoa mifano hai ya wananchi wa Tanzania, tokea kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.
 
Elezea msemo huo hapo juu, kwa kutoa mifano hai ya wananchi wa Tanzania, tokea kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Ngambo Ngali,
hapo naamanisha hivi ni kitu gani kinamfanya mtu aendelee, kuithamini ccm kwa kuendelea kuiweka madarakani kama chama kinachoweza kumletea maendeleo, jambo ambalo ccm imeshindwa kulifikia
tangu kuiongoza nchi?

nimeifananisha ccm na nguo iliyotoboka toboka, ama imeisha chakaa na mmiliki wake ana ngou nyingine anayoweza kuivaa, lakini amekomalia hiyo tu, ni ukweli kuwa kuitambua ccm kama
imekwisha hakuhitaji elimu ya chuo kikuu, ama PhD, n.k
mtu unajaribu kuilazimisha akili yako hata kama imegoma kuisoma ccm, kuiacha pembeni hakuhitaji mijeredi wala adhabu
 
Yeah, sometimes its really hard to understand how this old bull CCM wins elections...This time around mimi na wewe tutatumia haki yetu ya msingi kuiangusha ccm na i bet haitashinda.........
 
Nilikuwa naact kama mwalimu ili wanajamvi watafsili na kutoa kama insha au hadithi hivi. Itakuwa poa sana.
 
Yeah, sometimes its really hard to understand how this old bull CCM wins elections...This time around mimi na wewe tutatumia haki yetu ya msingi kuiangusha ccm na i bet haitashinda.........
ushindi wa ccm, utadhihilisha kuwa nchi ina uwingi wa wajinga
samahani ujinga si tusi, bali ni ushamba na kitu
yaani mtu kula sabuni akidhani biskuti
 
Mtazamo wako juu ya sisiem ni wa watu wengi sio wewe pekee yako,hata wazazi wako kule kijiji wanifagilia sisiem,sasa ni wakati wa kuungana pamoja ingawa uko sisiem lakini unapaswa kujua kuwa hakuna mabadiliko ya kweli kama tutaendelea kuongozwa na sisiem.anza kunshawishi baba na mama yako,ndugu zako na hata jirani zako,athari za kuendelea kuwa na sisiem.mimi niko sisiem lakini nitapigia chadema kura.hilo liko wazi na alikataa kura yangu mwenyewe siwezi kumlazimisha nimpe kura yangu.Hanijali,haniheshimu ananiita MBAYUWAYU sasa mimi nimpe kura ya nini.
250px-Hirundo_abyssinica.jpg MFANYAKAZI WA TANZANIA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom