I'm sorry

dah!! sijui mchawi wangu ni nani ,
nikimwandikiaga tu huyu mtoto ana log off,
au hapendi ma-saint nini? inabidi nianze kumtafuta mchawi

hadi sasa ivi huyu gal kanikaushia,
nina wasi wasi na huyu mtu anayejiita kloroqwin
huyu jamaa na ukatuni wake ni mwiba
inabidi niende bagamoyo nikasomee usanii
siwezi kukubali kirahisi kumpoteza
 
wewe binti nakutafuta sana
huonekani kabisa
nimekutafuta hadi nataka kulia
jinsi nilivyoimiss mistari yako
kuna katuni mmoja anaitwa klorikwini
anapenda kuchekesha chekesha
basi nikajua amesha kubeba
.... bora nimekuona
kwanza hii kitu hapo down unatumiaga?

StrawberryDaiquiri.jpg
%D0%BA%D0%BE%D0%BA%D1%82%D0%B5%D0%B9%D0%BB%D1%8C.jpg


mmhh Ivunga
bwana na we unajua kunitamanisha
naona umenichagulia kitu roho yangu
yapenda kabisa dear.. Nway mimi nipo
Mpen... mmmhh malizia mwenyewe

Na usijali kabisa sinto kaa nikukimbie
maishani mwangu naomba usisahau
"mimi na wewe ni kitu kimoja" hahaha lol
hayaa mtoto mzuri lala salama aeee....
mmmwaaaahhhhhhh:couch2:
 
mmhh Ivunga
bwana na we unajua kunitamanisha
naona umenichagulia kitu roho yangu
yapenda kabisa dear.. Nway mimi nipo
Mpen... mmmhh malizia mwenyewe

Na usijali kabisa sinto kaa nikukimbie
maishani mwangu naomba usisahau
"mimi na wewe ni kitu kimoja" hahaha lol
hayaa mtoto mzuri lala salama aeee....
mmmwaaaahhhhhhh:couch2:

mmmmmm!! yaani kitendo cha wewe kunijibu imebidi nipige moja baridi moja moto ili kujipongeza mwenyewe ,
ntarudi badae kukujibu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom