Im on fire ..usinijaribu

jamani naomba mnisaidie then nitaondoka na kuwacha iwapo hazinihusu
!!

Haya usijali.... Hizo ni pingu za jikoni.... Ikitokea kua Mhusika ni mpishi mzuri saana, siku moja moja hua yatakiwa huyo mpishi afungwe hapo hapo kwenye jiko ndio apike.... mara nyingi mpishi huyo hujidai siku hio hataki kupika ilit tu aona raha ya kufungiwa pingu jikono....:biggrin:
 
kweli kuna haja ya kunidadafulia zaidi!!! zinaitwaje kizungu?
 
Back
Top Bottom