I'm looking for part time job in IT

mperwa

Member
Sep 3, 2009
28
0
Nina advanced diploma ya IT na pia nimefanya course ya Cisco, nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha but mwisho wa kazi huwa ni saa kumi(na ni jumatatu-ijumaa) na from there na kuwa free, so nahitaji kazi ambayo naweza ifanya kuanzia muda huo ninapotoka kazini.
 
Sasa hapa tatizo nini ndugu yangu ni mshahara au njaa,au ndio tuseme we huhitaji mapumziko?Mimi nakushauri uwaombe waajiri wako wakuongezee muda wa kufanya kazi kwa ujira huo huo unaopokea sasa hivi pengine utaridhika!!
 
Kaka, mawazo ya part tym job nia ya ukwe'E' lakini co kwa mda unaoutaka wa kuanzia sa10... kiTZ co saaana, possibly durin day tym!
 
Una ujuzi wa miaka mingapi na eneo lipi kwenye IT? Una cheti kipi cha Cisco (CCNA, CCNP etc) au ulifanya tu hii kozi?
 
sasa wewe ndugu yangu, unataka nini? tatizo lenu vijana wa siku hizi mnahonga sana kiasi kwamba na matumizi yamekua makubwa kuzidi mshahara wako ndio maana unahangaika, hata ukilipwa Ml. 10 kwa mwezi tena utakuja hapa na kulalamika kuwa hazitoshi, hebu jaribu kupangilia budget kulingana na kipato chako. Wenzako wanatafuta muda wa mapumziko na familia zao wewe unataka kuendelea na kazi hadi usiku. Zina mwisho hizo pesa jamani, wenzako hawajaajiriwa na wanatafuta hata pa hela kidogo lakini hawapati au unataka kutajirika haraka haraka angalia asijeingia kwenye ufisadi kijana
 
Nina advanced diploma ya IT na pia nimefanya course ya Cisco, nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha but mwisho wa kazi huwa ni saa kumi(na ni jumatatu-ijumaa) na from there na kuwa free, so nahitaji kazi ambayo naweza ifanya kuanzia muda huo ninapotoka kazini.
utaajiriwa mpaka lini dogo?? ingia kwenye soko la kuajiri watu.. tafuta biashara yako mwenyewe fanya..I can tell you inalipa mara tatu mpaka nne ya kazi za kuajiriwa...Lol...ushauri wangu...achana na kuwa na waajiri wengi ..ajiri na wewe.
 
mmh kwa kujishaua wabongo sa party time job ya nini we hutaki kupumzika?wenzako hawana hata hiyo kazi moja uliyonayo we unataka kazi ya pili
 
Jiangalie bwa mdogo huo muda ambao upo loose hebu check ishu zingine za kukuingizia kipato nje na kuajiriwa....just expand your views kihivyo siku zote fikiria kutoka kwenye huu utumwa wa kuajiriwa sio ishuu kama vp find capital kupitia hiyo kazi ulionayo...au vp!!
 
Kijana nafikiri hujaoa,hivi kwa nini usifanye kama mimi baada ya kazi napenda kuwa na mademu.naona dunia inakushinda kula starehe kabla hujafa.maana usije ukapata tabu duniani na mbinguni nako ukaenda notoni,chunga sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom