Im in love with FF

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.
Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy uumbaji wa Muumba
 
Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy uumbaji wa Muumba
Ukimpata ukamtoe awe zawadi ya birthday yako! All the best!
 
i hope haumaanishi faizafoxy....!

kabibi kweli hako kamama
 
I hope ameshapata message yako na atakuhabarisha soon, uzuri wake she's very straight forward and outspoken.
She doesn't afraid to speak her own mind whether you agree with her or not.
 
Nenda kwenye ile thread ya Gaga-17yrs FF kadai mwezi huu anatimiza 30 kwenye ndoa sasa hapo utajuwa kusuka au kunyoa.

NB: Safari si kesho ? sasa kama unapanda KLM ukiambiwa uende 08.07.2011 ujuwe safari ni alhamisi kwakuwa ndege zao huondoka just after midnight,miaka ya nyuma niliwahi kosea,kila la heri uende kusoma totoz za kizungu achana nazo.
 
Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.
Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy uumbaji wa Muumba
Mambo ya kikoba unayaweza weye?
 
Tahadhari siku mkipanga kuonana live hakikisha unakuwa wakwanza kufika mlipopanga kuonana kisha unajificha iliumuone kwanza.
Nahakika utatoka mbio bila hata kumsabahi maana post zake tu zinaonyesha ni mwanamke fulani hivi mkavu, hana mvuto na kajikatia tamaa na kuolewa na maisha, kitu pekee kinacho.mfariji ni ubishi tu
 
hhahahahhah
mkuu pauks yaani kama vile upo kwenye kichwa changu
 
Nenda kwenye ile thread ya Gaga-17yrs FF kadai mwezi huu anatimiza 30 kwenye ndoa sasa hapo utajuwa kusuka au kunyoa.

NB: Safari si kesho ? sasa kama unapanda KLM ukiambiwa uende 08.07.2011 ujuwe safari ni alhamisi kwakuwa ndege zao huondoka just after midnight,miaka ya nyuma niliwahi kosea,kila la heri uende kusoma totoz za kizungu achana nazo.
mkuu safari ni kesho usiku...leo nimelala buguruni karibu na uwanja wa ndege kabisa sitaki ujinga wa mambo ya foleni..2moro asubuhiiii nipo JK Nyerere nangojea kwenda kutoboa mawingu na pipe la chuma
 
St Ivuga umesikia kilio cha MR lakini au ndo mambo ya kimjinimjini nini?
 
Back
Top Bottom