i'm gonna miss you!

Unaenda wapi Cheusimangala kwani huko hakuna,Zantel, Zain ,Tigo, Vodacom,TTCL,PO.Box ??MTM ...............
unatupa mawazo wewe nimeishiwa appetite ya kupost leo
all the best mommy!Gob be with u always.
 
aaah Cheusi mi nina aleji ya kuosha vyombo na kubeba maji

assign hiyo task kwa Lily Flower mdogo wangu afanye......
 
aaah Cheusi mi nina aleji ya kuosha vyombo na kubeba maji

assign hiyo task kwa Lily Flower mdogo wangu afanye......[/QUOTE]

Siku hiyo itabidi nisingizie naumwa dah!! kweli sisy hapo umenitega.
 
Wakati wewe unaondoka dada cheusi mimi ndo narudi ndani, usijali naomba nichukue nafasi yako na nyumba utaikuta salama. Japo sikuaga, lakini am back, na safari yangu ya huko nilikokuwa was for a good cause and i can assure you all kwamba i have opened a new chapter, promising and rewarding. Sky is the only limit now guys.
So, i am also praying for cheusi that all the plans go well and blessings be her all the time till she is back with good news. Go well sista.
 
Haya mama safari njema lakini mbona umeanza mapema Kampeni?
Au unaenda kumwaga misaada vijijini usisahau kumwaga hata SALAMA maana vijijini huko wanatumia soft rambo.
 
Haya mama safari njema lakini mbona umeanza mapema Kampeni?
Au unaenda kumwaga misaada vijijini usisahau kumwaga hata SALAMA maana vijijini huko wanatumia soft rambo.

khaa binamu hii kali tena, umefanya utafiti :rolleyez:?
 
Kila la heri Cheu. Mshikaji wako, Mjomba (JK) umemuaga au ndo mnakula kona pamoja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom