Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

Inabore sana unaporead listory lirefu lakini ambalo liko bias. Wewe unayejiita mchangaji (sijui wa kondoo anyway) unaposema watu wavijijini wanaishi chini ya dola moja, unamaanisha wameanza kuishi tu kipindi cha Kikwete? Ukiacha Richmond, hao akina meremeta, tangold, Epa, BOT twin towers, alex and stewart, ndege ya rais, rada, helkopta za jeshi, kuuza nyumba za serikali, kiwira na mengine mengi yote yalitokea kipindi cha Kikwete? Mbona kipindi hicho yanafanyika hayajaibuliwa ila yameibuliwa kipindi chake tu as if yamefanyika kipindi chake? Hiyo yenyewe richmond imedumu muda gani kabla ya kuibuliwa, Utalingani na mengine hayo niliyoyataja hapo juu?
Nyie watu mna yenu mambo tu na sibure. mijitu mingine bana. yanaudhi. Lakini sasa wadanganyika wameamka japo si wote na hivi karibuni wainuka wote. Nasema hivi patakuwa hapatoshi. they are tired with thid stupid calculation.
 
Ngwendu,

Sijakuelewa, je una maana kuwa Kikwete kaleta mafanikio au unatuambia kuwa nini?
 
kipato cha cha sikukuwa chini ya Dola moja ya kimarekani

...unaposema watu wavijijini wanaishi chini ya dola moja
kwanza hatakiwi kulinganisha maisha ya kiuchumi ya nchi moja kwa hela ya nchi nyingine. $1 ukiwa TZ (shiling elfu mia tano) nguvu yake ni tofauti na dola moja ukiwa US. Unakula Ugali, Nyama na soda ya mia tano kijijini au kwa Mama Ntilite ukiwa na tenga jelo,US utakula chakula na kinywaji kwa $1?
 
Kawambia nani nafananisha na Wamarekani? Dollar per day is the SI unit katika somo la uchumi mnapokuja kuangalia GNP na GDP. Then oanisha na tamko la UN kuhusu umasikini na maisha ya umasikini, kuelewa wanapoongelea poverty level.

Then gofigure out how can $365 a year be sufficient kuleta maisha bora kwa mtu!
 
... Dollar per day is the SI unit katika somo la uchumi

Si kweli, kwa sababu dollar ina purchasing power tofauti Tanzania na Cambodia na Marekani na Waziristan. Na hata ungesema Mtanzania anaishi kwa shilingi alfu mia tano, ningekuuliza, badala ya? Kutwa unalaumu viongozi kwa kutoa majibu marahisi, nategemea wewe unapoandika "vitabu" JF ueleze the nitty-gritty
 
Ooh what a day
Oo Happy Day!
Kila zama zina mashujaa wake
Hizi ni zama zetu
Na hawa ni mashujaa wetu!
 
Mchango wako umekuwa wa muhimu sana. Hata kama hutakumbukwa na wanasiasa. Historia itakukumbuka. Ningeshauri usiache kabisa labda watch from far. Kama alivyofanya nyerere wakati wa mwinyi.
 
Mwanakijiji kijarida cha cheche hakipatikani na nadhani kilikua na umuhimu sana katika kuelimisha watanzania wengi ili wajue wanacho paswa kufanya
 
JAKAYA ATAWEKA RECORD YA KUWA RAISI WA KWANZA KUTUMIKIA KIPINDI KIFUPI KUSHINDA MARAISI WOTE WALIOMTANGULIA.
JAKAYA ATAKUWA WA KWANZA KUSABABISHA TANGANYIKA KUPATA UHURU WAKE.SABABU SIDHANI CHADEMA WATAFUATA UTARATIBU WA CCM. KAMA ZNZ WATAKUWA NA CCM YAO SISI TUTAKUWA NA CHADEMA YETU. SIJUI NANI ATAWACHAGULIA WA ZNZ RAISI WAO.
JAKAYA NAMPENDA SABABU YEYE NDIO KAONYESHA UDHAIFU WA UONGOZI NA KASABABISHA HATA WAKULIMA WA VIJIJINI WAJUE UTAPELI WAKE. NA KWA SABABU HIYO MABADILIKO MAKUBWA YATATOKEA KTK HISTORIA YA TANZANIA.
KUANGUKA KWA JAKAYA NDIO KUTARUDISHA TANZANIA KTK RAMANI NA HADHI YAKE.
kUANGUKA KWA JAKAYA NDIO KUTAKUWA ANGUKO LA CCM NA MAFISADI NA BILA SHAKA KWA MARA NYINGINE KUANGUKA KWA KIKWETE KUTALETA DEMOKRASIA YA KWELI. SABABU CHINI YA CHAMA HIKI CHA CCM HAKUNA DEMOKRASIA YA KWELI.

KAMA KUNA MENGINE YA RECORDS NAOMBA ONGEZEENI
 
ni kweli kabisa,jeykey na familia yake ya ikulu wameanguka anguko kuu
 
Karibu mkuu, naona ni mgeni jamvini. Ila pole zilishaletwa hapa jamvini 2kazichambua mpaka basi!
 
ndoto nyingine jamani!!! trh 2 ni mwisho wa hizi habari,maana hamna kinachofanyika nchi nzima kwa sasa for 3months. ndiyo maana tupo maskini. ni kuongelea siasa tu na zaidi ya hapo watu wengine wanajifanya as if office zimeungwa. pamoja ya kwamba viongozi wanaleta chachu ya maendeleo ila wananchi wanasupport kwa kufanya kazi.upande huu wa sisi kuwajibika kama watanzania hatuugusii!!! inackitisha saana
 
Utendaji ni FF

Competency ni FFF

Uwezo wa Kufanya Maamuzi ni FFF

Usimamiaji wa uchumi wa nchi ni FF

Usimamiaji wa rasilimali za nchi ni FFFF

Umesahau mkuu kipengele kimoja muhimu,
Uwezo wa kuongoza kwa propaganda AAAAAAAAAAAA
 
YES, YES SAY NO TO SECOND TERM.WATANZANIA TUMECHOKA KUBURUZWA:A S-confused1:. LAZIMA TUTAFUTE MABADILIKO LA SIVYO TUTAISHIA KUTESEKA HADI KIAMA. TZ BILA KIKWETE NA BILA CCM INAWEZEKANA. BYE BYE JMK:israel: KARIBU DR. WA UKWELI SLAA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom