I'm back friends

Welcome back Vin Diesel, good to read you again. Habari ya huko uliko potelea? Umesha jifunza ku-mention members in your post? That's the new craze...
 
Last edited by a moderator:

Asante sana super moderator RR....naomba unipe darsa kwani nimeona vitu vipya hapa....huko nilikokwenda kwema na nashukuru nimerudi nyumbani swalama kabisa....
niliwakumbuka sana wapendwa wangu...is my sisy AD around?
 
Unaona kama hapo ulipo muuliza AD? you only had to mention her na angepata notification (Sijajua kama ulimaanisha afrodenzi au AshaDii). To mention a person just use @ following by the member ID. Zingatia these basic rules:
1. Ukiandika jina la member (jina moja au mbili) hakikisha huachi space kati ya @ na herufi la kwanza la jina (mfano BADILI TABIA)
2. Andika jina kama lilivo andikwa na uongozi wa JF (mfano: AshaDii na sio ashadii au asha dii au tena Ashadi)
3. Hakikisha unaweka space kabla ya @ (mfanon usiandike blablabla Mwali. Andika blablabla. Mwali)
4. Ukisha andika jina usijaribu tena kuweka mbwembwe za rangi au bold. Acha tu @ na jina.
I hope I will be the first you tag... welcome back!
 
Nashukuru sana RussianRoulette.....sasa nimekuwa mtaalamu wa hii mambo....naona kila siku JF inazidi evolve...
pale nilimaanisha my sisy AshaDii japo best yangu afrodenzi nae ni kitambo sijamsikia.....
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom