im almost back????????????

Anakudangaaaaanyaaaaa....
Anakudanganyaaa huyooooooo...

Anakudanganyaaaaaaaaa
anakudanganya huyooooooooo..........

Naimba tu.....

Beibe sorry sikuwa online for some hrs!
I'm still with you for cherish and trouble.
Be lyk Mbayuwayu mix with yours.
Kitu yako iko kama ulivyoiacha, wengi wameikodolea mimacho koddo! Wengine tumbu! Wameiona paa! Nimeiprotect FUNGUO , na wewe protect KITASA.
 
mith yu tuu beibe nasty ... nko hapa nasubilia umbwage mtu live nishike usukani mimi

Mithili ya majnuni mmoja alie ambiwa ili aozeshwe mke, basi apeleke mahari ya mwezi (moon) akawa anausubiri udondoke!
Pole weee!
Baki na riwaya ya Shaaban Robert (Kusadikika)
 
Last edited by a moderator:

Hilo sio tatizoo hata hun kitasa kipo kama ulivoondoka
 
Mithili ya majnuni mmoja alie ambiwa ili aozeshwe mke, basi apeleke mahari ya mwezi (moon) akawa anausubiri udondoke!
Pole weee!
Baki na riwaya ya Shaaban Robert (Kusadikika)

Heheee mpe huyo vidonge vyake akimeza akitema hiyo shauriro
 
Mithili ya majnuni mmoja alie ambiwa ili aozeshwe mke, basi apeleke mahari ya mwezi (moon) akawa anausubiri udondoke!
Pole weee!
Baki na riwaya ya Shaaban Robert (Kusadikika)
we subiri utasimuliwa tu mda si mrefu.. huo mwezi ndo utashuka uushuhudie
 
Wavimbamacho
wapulizamoto
washikapembe
wachawi
wanga
washakunaku
washan'kupe
washongorokwinyo
Wajijuao wa Jeiefu someni hapo juu, Nasty afungukavyo.

ishia hapo hapo. vinginevyo namwambia kwanini mligomba na mtu furani humu kuhusu C.lady. unaona tumenyamaza tumekusitiri usituite mashakunaku babu we!..na nakuomba utulie kama maji mtungini. Unafikiri hatujui michezo yako?. Mia
 
Vijimikwala vya kiivi havituyumbishii mashua yetu, mi na Nasty!
Sanasana vitakutobolea malapa kwa tembeo la kusambaza uzandiki.
Ulichosahau huyu bibie kaenda shule yuawafahamu upi wkt wa kukinga, na upi wkt wa kushambulia.
Aidha anafahamu ubora na uzima wa Chandarua ni matundu.
Endelea kusubiri mwezi (moon) utakudondokea eeh?
Mbona zamani hukua muflis wa maono?
Siku hizi umepindaje?
 
Back
Top Bottom