I'm addicted to "BEKI TATU"

Nadhani inabidi wana harakati wawape elimu hawa madada si ya kudai maslahi yao tu, na jinsi ya kuishi na wanaume wasiojua kufunga zipu. They are innocent. Na wakisema washtaki kwa wamama wenye nyumba kuwa wametakwa na waume zao au watoto wao in most cases wana end up kufutwa kazi kabisa. Umasikini ni kitu kibaya sana. Yani wanageuzwa sex slaves na mikazi juu kulala saa sita usiku, kuamka saa kumi na moja asubuhi. Bado uhudumie wanaume wote ndani ya familia tena bila hata malipo bora wangekuwa sex workers tungesema ni biashara wanatembea nao hata ela ya kufuli hawawapi. Ndio maana nauliza hawa the so called viti maalumu wana fanya nini bungeni!!!! Kwa nini awasimamii vitu kama hivi jamani. Ingetungwa sheria mianamume ya namna hii isweke ndani kama wabakaji tu. Kwani in most cases these girls are under 18.
 
aisifuye mvua!

Ulisema na wewe utaleta bandiko lako la kuwa upo addicted to house boys "beki mbili" na tangu upo la nne umekuwa na mahusiano nao na mpaka sasa wanafika kama 26 hivi, nimengojea sana hilo bandiko sijaliona kulikoni?
 
Ndugu, pole sana
1. kitu cha kwanza kufanya, kuna mchangiaji kasema, Mrudie Mungu wako, if you are not God believer start to be one now
2. cha pili; punguza muda wako wa kuchangamkia house girls, usiwe unarudi nyumbani ukijua hakuna mtu wa tatu.. make sure familia yote ipo ndo uwe nyumbani, kama wewe bado unasoma, pitia library, find other open social areas, kaa huko mpaka muda wa familia yote ipo nyumbani, mkiwa wawili tu , na ujana huo nguruwe wako atataka chakula tu
3. lala mapema, unabaki sebuleni kuangalia tv mpaka saa saba usiku , kwa nini, ...ndo muda wa vishawishi huo...
4. jifanyie kazi zako mwenyewe , sio maji ya kunjwa unaita, kufua nguo beki tattu, kupakua chakula beki tatu.. mwisho wa yote ukimwambia njoo chumabi kwangu..atakuja..keshakuzoeeeeea.

finaly, unapomfikiria kufanya naye, say " STOP" , KUMBUKA KAMA ANGEKUA DADA YAKO ANAFANYA KAZI SEHEMU NA NA KUNA JAMAA (KAM WEWE) ANAMZUKIA DADA YAKO AMBAYE NI BEKI ATAU.. UNGEJISIKAE...... RESPECT TO ALL WOMEN.. YOUNG OR OLD THEY ARE MOTHERS...

Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,

Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.

Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.
 
eheheeeee!!!! jana niliwaeleza yangu umkanishangaa...haya sasa oneni huyu....13?????duh!! si bora mimi wanne tu. jamani niliwaambia iwapo Mungu angeufunua usiri wa mtu mchana wa jua uonekane na kila mtu jana msingine nipa nzito kiasi hicho. sasa huyu hata sio ndo mwisho sababu bado yupo kwa wazazi, endapo ataendelea kukaa miaka mingine 4 si idadi itakua infinite?
 
Cjui hata nianzie wapi,Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.
Hongera sana kwa kiwango chako hicho. Bt hivyo ni vyakunyonga sidhan km vya kuchinja utaviweza coz ndivyo vingi duniani. Shukuru mungu hao mabeki 3 wametoka iringa, huko wanawake hawatongozwi, unajivutia mwenyewe. Nadhan ukame unakujia si kitambo!
 
Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,

Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.

Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.

Kuwa makini usije ukaona mnakula pamoja na baba ako ikawa ishu.

Cha msingi kumbuka kuvaa salama condom unaweza piga mimba ukamsababishia matatizo maishani mwake
 
jamani toka niweke hi kitu naona wanajamii wanamtazamo tofauti.

Kwani si wasichana hawahawa kutokana na uzuri wao mama Mwenye nyumba hua anaisi anaibiwa? Sasa tatizo lipo wapi?
Kuna mchangiaji anaitwa DUME LA MBEGU. Kawadisi eti wanajasho kali je ni kweli? Mbona mafadha hausi wanajiliaga vyao?
Tuache kuwadisi wanasaidia sana.
 
Hongera sana kwa kiwango chako hicho. Bt hivyo ni vyakunyonga sidhan km vya kuchinja utaviweza coz ndivyo vingi duniani. Shukuru mungu hao mabeki 3 wametoka iringa, huko wanawake hawatongozwi, unajivutia mwenyewe. Nadhan ukame unakujia si kitambo!
Kaka wajua watu mnajifanya hamna hatia kuhusiana na madada zetu wa ndani,wengi mnaopondea najua fika mtakua mtoswa na wadada hawa. Ndoa ngapi zimevunjwa kutokana na uzuri na utamu wa hawa watu?
 
Mnavotunyanyasa sie watumishi wa Nyumbani acha tu sawa bwana
DA WAJUA HAWA WADADA WA {IN} NI WAZURI.INGAWA MI KUSEMA HUMU JAMVIN NADHARAULIKA,ILA UKWEL UTASIMAMA DAIMA. wangapi wamewalala na hawasemi? Wanakuja humu na kusema tunawaonea wadada hao? Special thenks kwa alichangia kwa shairi Kanigusa Kwa kweli. Penzi la wadada wa ndani ni penzi tu kama penzi jingine.mbna hata wanaosoma vyuo mnawamega na kuwaacha Au nao ni beki3?
 
Tena faza hausi akinionja tu kwisha habari yake atamsahau maza hausi kabisa
 
Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,

Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.

Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.

una umri gani ...? na pia acha uzinzi ( bad things happen to bad people it a matter of time )
 
a gentleman never tells.

....ushamba mzigo.mimi nina beki 3 ambaye amemaliza f.6,na ni mrembo kwelikweli, ki ukweli ninamlipa vizuri mno na tuko wawili tu nyumba nzima but i treat her like my really siater kwani hivyo ndivyo nilivyolelewa,na mwaka huu anaanza chuo na nimemuahidi kumlipia ada,nadhani she is the most paid and respected hg in town.
 
Atakayekuja kuwa mkeo ana kazi kubwa kweli kweli,labda aweke houseboy!Kama umeshindwa kujicontrol sasa hata ukija oa utaendeleza uchafu wako.Kama ni kupitiwa labda ndio "unakua"....mpaka wanafika 13??????You are so weak to be called a MAN.
una pepo la mabeki 3,likemee
 
Nadhani inabidi wana harakati wawape elimu hawa madada si ya kudai maslahi yao tu, na jinsi ya kuishi na wanaume wasiojua kufunga zipu. They are innocent. Na wakisema washtaki kwa wamama wenye nyumba kuwa wametakwa na waume zao au watoto wao in most cases wana end up kufutwa kazi kabisa. Umasikini ni kitu kibaya sana. Yani wanageuzwa sex slaves na mikazi juu kulala saa sita usiku, kuamka saa kumi na moja asubuhi. Bado uhudumie wanaume wote ndani ya familia tena bila hata malipo bora wangekuwa sex workers tungesema ni biashara wanatembea nao hata ela ya kufuli hawawapi. Ndio maana nauliza hawa the so called viti maalumu wana fanya nini bungeni!!!! Kwa nini awasimamii vitu kama hivi jamani. Ingetungwa sheria mianamume ya namna hii isweke ndani kama wabakaji tu. Kwani in most cases these girls are under 18.
Inasikitisha sana.ni kama hawana mtetezi.but me nafikiri kuanzishwe kitengo cha kuhudumia hawa mahausigel na kisimamiwe na wizara ya watoto na kina mama.ofisi hizo ziwekwe kwenye kila ofisi ya wilaya ya ustawi wa jamii.na ikibidi wafanye usajili wa hawa watu kupitia serikali za mitaa.then kuwekwe matangazo maredion na kwenye tv kuwaelimisha mara wanapopata matatizo ya namna hii wakaripoti kwenye hizo ofisi.wengine wanafukuzwa wakiwa na mimba.wanaishia kwenda kulea peke yao huko vijijin.me inaniuma sana.coz nimeshashuhudia wasichana wengi wakinyanyaswa na hawana pa kwenda.so sad.ni wazo tu.siku za uson am planning to write a proposal na kusubmit somewhere.
 
Kuna ka wimbo hapa unaimbwa hivi njoo njoo njoo ufanyiwe maombi ukiombewa tatizo lako lita .................. Kaka na mashaka na utulivu wako ingawa sijajua mpaka sasa una watoto wangapi na hao beki tatu wote uliopitia ukijumlisha na majirani. Haya best ila unatisha na speed yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom