Ilvyoripotiwa tukio la Uamsho Zanzibar kati ya vyombo vya habari huru na vya propaganda

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
1)BBC SWAHILI: waumini wa dini ya Kiislam wa Zanzibara wametayanywa na askari polisi walipokuwa wakiwaombea dua waliofariki
2)Idhaa ya kiswahili ujerumani. Polisi watumia nguvu kuwatanya waislam waliokuwa wakiomba dua.
3)Idhaa ya Kiswahili VOA: Polisi wazuia dua iliokuwa inasomwa na waumini wa Kiislam
4)Zenj FM leo asubuhi. Waislam watawanywa wakiomba Dua kwa ajili ya waliofikwa na msiba
5)Chuchu FM- Waislam waliokuwa wakiomba dua wametawanywa msikiti wa Mbuyuni
6)Sauti ya Tanzania Zanzibar(Sauti ya Serekali) Askari watumia mabomo ya Machozi kutawanya waumini wa kiislam

MAGAZETI:
Zanzibarleo- gazeti la serekali ya SMZ. hawakuipa kipaumbele habari hii

MAGAZETI PROPAGANDA YA TANZANIA BARA
1)Nipashe. hawa jamaa bado wanauchngu na makanisa yao- Habari imekaa kishabiki na kidini zaidi. Ukisoma tu utagundua muahriri kayaingiza maandishi yake.
HII NI AIBU KWA TASNIA YA HABARI KUKAA ZAIDI YA KIDINI BADALA YA UTAIFA
 
ukweli ni kwamba UAMSHO ni magaidi sema serikali dhaifu ndio inaowalea
 
1)
HII NI AIBU KWA TASNIA YA HABARI KUKAA ZAIDI YA KIDINI BADALA YA UTAIFA

Aibu ya nini wewe, kama haujaipenda hiyo habari katika baadhi ya magazeti ilivyoripotiwa we kausha tu, si umeshaisoma kwenye vyombo vya habari vya kizenji imekutosha acha vyombo vya habari vya huku bara viandike vinavyopenda
 
ukweli ni kwamba UAMSHO ni magaidi sema serikali dhaifu ndio inaowalea

Hiyo imezoeleka kijana waislamu kuitwa magaidi sio wewe mwanzo na uamsho inakutieni uchungu sana kuickia nyinyi mnayoabudu j2 hadi j2 na bado itaendelea kuwepo uchungu ukikuzidi kula sukari uzimue kwani utajitesa roho bure kuichukia uamsho
 
uro jo uro jo.uamsho ki2 gan mkidhubu2 kuja bara 2tawalamb bakora kama watoto endleen kuish uko kisiwan
 
Back
Top Bottom