I'll never complain about my job again.....

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,224
17,800
14717228_10154675853157990_6171620998936570692_n.jpg
 
Hhahahahahahahaaaaaa jamaa anampiga tembo booongeee ya jidoleeee hihihihihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila huyo Tembo nae hata kama anaumwa, yaani hata hatikisiki au kuona ana ghasiwa kwa kuchokonolewa loooh, si bureee utakuwa ndo mchezo wake. Maana wakisema wamempa dawa ya usingizi asingeweza kusimama hivyo angelala, labda kama wamemchoma ganzi.
Hahahahahahhaa mawazo ya Kasie saa ingine sijui huwa yanawafikiri nini....... (just thinking aloud)

Back to the topic, thank God I've never complain about my job.
 
Imenikumbusha movie flani hivi.

Kwenye sehemu ya movie hiyi,kulikua na watu wanawinda. Sasa wakawa wanasakwa. Wamekaribia kukamatwa,ili kujiokoa wakaongia tumboni mwa tembo mwanamama!
Wakiwa huko tumboni,tembo dume likaja kumpanda lile jike. Ule mshipa wa huyo tembo ni hatari. Nilipocheka zaidi ni pale alipokuwa anamwaga,hahahha! Alimmwagia jamaa kama lita mbili hivi za genye.
 
Japo ni movie au mchezo wa kuigiza. .... ila walitokaje? Au baada ya kumwagiwa manii movie ikaisha? Heheheh
 
Kinachoniacha hoi hapo eti kuna mtu kamshikia mkia, ye kazama mtaroni. Huyo tembo hapo akipata nafasi ya kutimua mbio mbona ndio itakuwa habari kamili.
 
Imenikumbusha movie flani hivi.

Kwenye sehemu ya movie hiyi,kulikua na watu wanawinda. Sasa wakawa wanasakwa. Wamekaribia kukamatwa,ili kujiokoa wakaongia tumboni mwa tembo mwanamama!
Wakiwa huko tumboni,tembo dume likaja kumpanda lile jike. Ule mshipa wa huyo tembo ni hatari. Nilipocheka zaidi ni pale alipokuwa anamwaga,hahahha! Alimmwagia jamaa kama lita mbili hivi za genye.

noma the brothers grimsby
 
Attachments

  • the-brothers-grimsby-red-band-trailer-2.jpg
    the-brothers-grimsby-red-band-trailer-2.jpg
    30.2 KB · Views: 54

Similar Discussions

Back
Top Bottom