Ilkuwa ni ndoa ya mkeka ya wake wengi sasa haitaki tena.....

[h=2][/h]
Kuna mjeda alijitwanga risasi yeye na mke mdogo....
Mamno haya haya ya wanaume kuwaona wake wa ujana wenu hawafai wamezeeka, akavuta bi mdogo..... Mwisho wa siku wasela wakawa wanamla, ikafikia kipindi wanamdrop getini......akiuliza anaambiwa 'wafanyakazi' wenzie.....baaada ya kufumaniwa live akamlipua mke mdogo na kujilipua mwenyewe too bad watoto wa mke mdogo walikuwa wadogo sana, primary school......sijui imeishia
vipi ile familia....

Wanaume mnapaswa kufikiri kabla ya kutenda, ila tatizo mihamko yenu ikipanda akili zinaamia kuleeeee

Ex-R.C wa iringa......................Mohammed Kissocky naye hayo yalimkumba na akampiga risasi mke mdogo na kujipiga mwenyewe........sikumbuki hili balaa liliishia vipi.......
 
Mama Isaack........hujui mume akizeeka anahitaji kidori wa kumrudishia ujana wake hata kama ni kuona bado yuko kwenye chati...........

ndo mwanzo wa kuibiwa cause mume keshakua kibabu mke bado binti lazima asaidiwe hata kama hataki..
 
Back
Top Bottom