Ilikuwa ni fedheha ambayo sitokuja kuisahau....

Kweli ni kisa cha kusikitisha, jambo ambalo sijaelewa ni fedhea hii ni kwako au kwa ndugu wa rafiki yako? Hakuna popote kwenye habari yako umefafanua hili,

Wazazi na ndugu wa yule kijan walifedheheka, lakini hata mimi nilifedheheka, hasa pale baadhi ya majirani kutushikia Bango mimi na mke wangu kuwa tunajifanya tuna hela na ufahari kumbe tunauza viungo vya Ma-Albino.........kaka hiyo siyo fedheha?
 
pole sana ..na huyo jirani yako vipi?

Na yeye alifedheheka pia, kwani alipoujua ukweli, aliogopa sana. Lakini na mimi sikumuacha nilimtisha kidogo kuwa nawasiliana na mwanasheria wangu nimfikishe mahakamani kwa kosa la kunizushia kuwa nauza viungo vya Albino na nikamwambia lazima anilipe fidia kwa kosa hilo.........Aliogopa sana na haikuchukua muda akahama yeye na familia yake!.......Nilikuja kusikia wamehamia Kimara
 
Pole sana kaka,kweli msimamo wako unahitaji moyo mkuu!jambo la kheri ni kuwa huyo rafikiyo hakuwa amepatwa na mabaya vinginevyo ingekukosti na hatimae ungesema laiti ningemsikiliza mke wangu,ni kweli maneno yana nguvu ya kuumba lkn alichokifikiria mkeo na kukupa alert ilikuwa baada ya kuforesee kutokana na hali iliyokuwepo,hivyo sioni kama alikosea
 
mkuu hiyo ndio inaitwa safari ya maisha'pole sana lakini umepiga hatua moja mbele kwenye life education
 
hii hadithi imenikumbusha kuna mtu alienda mtwara aka chumbia msichana....
but jamaa alikuwa 'mdhaifu dhaifu' wa afya....

ndugu wakashika bango kuwa 'hakuna ndoa mpaka wakapimwe hiv....

kwenda kupimwa jamaa mzima,msichana ameathirika.....lol

hahahah..two different storiez with different maudhui..lol
 
Pole sanaaaa, yani hapo ndo ulipogundua yupo rafiki wa kweli na nani mnafki, huyo mchaga ana matatizo how come unashangilia matatizo ya mwenzako hata kama mnadiffent zenu kuna cku yatakuja kwako.
 
huyo rafiki yako mpige ban, jamaa wasaka viungo bado wapo.

jana wamemnyofoa mtoto vidole akiwa hai
eti sheria inasema jitu kama hilo ulipeleke polisi ukilibamba.
Aaah wapi hafiki popote anatenganishwa tu mwili na roho chapchap
 
Na itakuwaje siku albino akikuibia kitu cha thamani njiani na ukamwona utamfukuza au utamwacha? Na ukiamua kumfukuza/kumkimbiza watu watakuchukuliaje?
 
Napenda movie za namna hii... inayoanza kama inatisha vile lakini mwisho wake huleta faraja na amani. Pole kaka, na pia hongera
 
Back
Top Bottom