ilidondokea mdomoni tu,. mimba, inawezekana?

...

Lugali, hivi wapi naweza kupata hiyo compressor?!!!!!!! :) :D
Jamaa alidai mbegu hazikuwa na msukumo wa kufikia yai. Na mimi nikampa hata angetumia msukumo wa compressor kama mambo ni dry ni dry tu.

Ila kwa swali lako ni kwamba unaweza kutengeneza comressor yako mwenyewe kwa kujihifadhi kwa muda kadhaa na kukusanya nguvu kwa ajili ya umpendae. In short siku ukikutana nae atasikia nguvu ya msukumo wa tofauti kabisa. Hapo utakuwa umetumia compressor.
Ukitaka zaidi muone Dina, sharti uwe umeoa ama umeolewa.

cheers!
 
Mkuu kidzogolae....
Uwezakano wa hiyo mimba kuwa yako ni mkubwa sana..tena sana.
Talking from exeprience, just wait (but also be responsible) and see.
 
pole sana kwa yaliyokufika,km ulikuwa hutaki kumpa mimba kwa nini hukutumia kinga?ukafanya ngono nzembe huoni ht maisha yako unayaweka at risk.
 
Mimi naona unapenda sana huo muziki maana kwa maelezo yako jana yake ulipiga speed kali. Sio mbaya kuwaridhisha kihivyo. Lakini
matokeo ni mazuri au mabaya. Mazuri ni kama vile mtoto na mabaya ni HIV. Labda utuulize kama kwa kuingiza tu kidogo umepata HIV au la .Ila la mtoto? Huhitaji kuuliza .Subiri tu Mungu akijalia utaona your other copy.
 
Basi jamani, punguzen hasira, siku nyingine nitakumbuka kujikinga. au, bora tu nibadili maisha. lakini angalieni, nyie mnaoninyoshea vidole, manake kidole kimoja kwangu, vilivyobaki vina wapoint nyinyi wenyewe. Nakubali criticism, naomba mnicriticise zaidi. hii topic imeelimisha wengi, na imetoa faida kubwa kwa wengi pamoja na kwamba mimi ndo niliyejitoa mhanga kuuliza.chao.
 
THAT IS 'NGONO ZEMBE IN ACTION'
Kwa kweli unabore, kufanya jambo baya na kuthubutu kujifanya hujui unaomba ushauri, ni sawa na Chenge anajua aliofanya na anakwenda kwa kutaka sympathy ya wananchi.
Ulichofanya ni ujinga,
Kwa kukufahamisha tu ni kuwa mbegu za kiume huanza kutoka kabla hata hujaanza kusikia kuejaculate.
Kwa hio unajisumbua kueject unapofikia peak, my dear.
Pole sana lakini na nyie huku wengine basi mjifunzage kwa makosa ya wenzenu, msingoje kujifunza kwa makosa yenu wenyewe kama huyu ndugu yetu.
Manake for sure, alikuwa ana elimu tosha ila tu kwa kuwa yalikuwa hayajampata, alidharau, najua next time hawezi kurudia.
Sasa ndio mnafanya abortion au????
 
Haka kajamaa bana!!,

Yaani wewe unafanya ngono bila kinga mzee? take care aiseee!!!!!!
 
duh, Haika unataka kushauri wavunje amri ya saba(usiue) baada ya kuvunja ya sita(usizini)???? Hujui wanaweza kuwa wamekatengeneza ka-waziri fulani!!!!
 
Jamani, hata mkielimishwa kutumia kinga bado hamuelewi? Kinga sio kwa ajili ya mimba tu mzee, hata magonjwa ya zinaa. Kama uko tayari kumlea mwanao kama unavyodai, kwa nini ulikuwa unabother kuwithdraw? Ajali iliyotokea iwe ni funzo kwamba hata STD (ukiwemo UKIMWI) inaweza kutokea! Kwanza huyo msichana mwenyewe ana umri gani? Usije kuwa unacheza na maisha ya mtoto wa shule!
 
kwanza kwa nini ulijilipua?
ni wazi kuwa wewe ni mzembe na ndo maana unafanya ngono zembe
 
Wewe Kidzogolae sikuelewi kabisa mshkaji, Nilisoma mail yako kwenye thread ya mlango wa dharura nikadhani wewe mlokole kwa jinsi ulivyochangia mara Sodoma na Gomora walichomwa, oh, mpokee Yesu uende mbinguni, oh... Leo hii unakuja hii ya kwamba umefanya ngono na msichana(sio mkeo) na jana yake ulikuwa na mzigo mwingine. Kumbe ile contribution ya siku ile ulikuwa unazuga tuamini u mtakatifu sana eh? Nimekugundua!!!!
 
Wewe Kidzogolae sikuelewi kabisa mshkaji, Nilisoma mail yako kwenye thread ya mlango wa dharura nikadhani wewe mlokole kwa jinsi ulivyochangia mara Sodoma na Gomora walichomwa, oh, mpokee Yesu uende mbinguni, oh... Leo hii unakuja hii ya kwamba umefanya ngono na msichana(sio mkeo) na jana yake ulikuwa na mzigo mwingine. Kumbe ile contribution ya siku ile ulikuwa unazuga tuamini u mtakatifu sana eh? Nimekugundua!!!!

sasa wewe, kwani nani hajui kuwa uzinzi ni kosa? ndio niliandika hivyo, lakini, unajuaje kama niliokoka baada ya kunanihii au la? usinihukumu hivyo. nimeshaelimika,naomba muwaelimishe wengine basi. au la mada iishe.
 
Mti unapoanguka bila shaka matawi husambaa. Naamini wengine wameelimika kupitia kwako. Hata hivyo nakupa big up kwa kuwa open maana wengine wanafanya gizani na mwisho wa siku hufa na tai shingoni.
 
Hivi, inawezekana kuwa, mtu akapata mimba wakati mbegu zilikuwa zinaenda polepole sana? yaani ni hivi, mimi ni mwanaume, nilikuwa nafanya ngono na msichana fulani hivi. nilikuwa sihitaji nimpe mimba. wakati nataka kuijaculate, nilitoa nje ili imwagikie nje. nilihisi mbegu zangu haziendi kwa kazi, na zilikua chache sana kwasababu jana yake nilikuwa ktk mchezo huohuo kwa mziki mkubwa sana mara nyingi. hivyo nilijua kuwa nimeondoka bila kumtia mimba. cha ajabu, kwa siku zilezile, nilikuja kuambiwa na yule dada kuwa nimemtia mimba. naomba kuuliza. sitaki kama ni mimba yangu niitelekeze kwani nitakuwa nimetelekeza mtoto wangu.

hivi, mimba huweza kutungwa, hata kama mbegu haikuwa kwenye speed?yaani kadogo tu kalidondokea mlangoni wala si ndani? ni speed gani ya mbegu inahitajika kuifikia fallopian tube? hata kaspid kadogo tu? nisaidieni hapo jamani.

Kidzogolae,

Mimba hiyo inaweza ikawa sio yako kama huyu mwanamke alifanya ngono nawe siku ambayo ilikua siyo ya hatari. Je, ulimuuliza kuhusu tarehe zake kabla hujafanya nae ngono?
 
Salama mzee? ama kweli wewe ni kijogoo yaani wewe siku mbili wanawake wawili? Kwanza masuala ya kuhofia mimba achana nayo kawaambie hao wanawake zako wote na wewe pia mkapime afya zenu kwanza ili kama mnaishi na vvu muanze ARV kwa usalama zaidi.
 
ama kweli binaadamu leo anajigamba kwa kutenda dhambi tena anaitangaza kwa kibri , jeuri na ufahari mkubwa bila soni wala aibu ... ooh jana mzigo mzito ... oooh leo hafifu ... na kesho pia nyepesi nyepesi

Tembea tu bwana ... mwisho wake unautambua mwenyewe ... mwanaume kama huyu akifa ... mitoto lukuki inajitokeza hata maiti yake inaona haya .. utawapa watu machungu baadae na mitoto ya mitaani kuzaga hovyo ...

Mungu walinde watoto wetu wasikutane na mtu mguu pande kama huyu
 
Umesema zikidondokea Mdomoni wapi? ina maana mlifanya mdomoni? au mdomo upi?
 
steve D, ni kweli kabisa mambo ya taulo, nina rafiki yangu mmoja yalimfika, walikuwa wameoana lakini hawakuwa na mpango wa mtoto, so ikatokea hivo, jamaa kananiii kwenye taulo naye binti katumia ileile taulo kujifutia, mimba bap!

yaani bora hizo mbegu zifikie kwenye uke, unyevu ulioko zitasurvive na kuogelea, remember they are microsopic and they need a very thin film of moisture to survive.

In the same vein...

Binti alifaa pajama ya baba yake iliyokuwa na mabaki ya sperms. Binti akapata mimba, kupima DNA ni ya baba yake!!!
 
Kama uliweza kumwaga shahawa na msichana alikuwa kwenye siku zake kwa nini asipate ujauzito? Ulijuaje shahawa silikuwa na speed ndogo kama ulivyodai? Hata hivyo mbegu za kiume hukaa ndani ya uke wa mwanamke au follapian tube kwa muda usiopungua siku mbili. Kwa maana hiyo, hiyo mimba ni yako hakuna ubishi.

Niashangaa katika karne hii unakubali kutembea na msichana bila kutumia kinga. Cha ajabu na kweli ni kuwapanga wanawake kama ndizi sokoni. Leo unatembea na mtu mwingine kesho mwingine bila hata kinga.

Dear watch out. UKIMWI njenje. Don't do this again.
 
Sasa Wewe Bwana Kaka Unataka Kutufundishia Vijana Wetu Umalaya....thibitisha Kauli Yako Kuwa Kufanya Mapenzi Mara Kwa Mara Kunaboresha Mbegu Za Kiume'''' Hujui Uku Kwenye Forums Tuna Under 18 Years Old....wataanza Kwenda Kinondoni Na Buguruni Kuboresha Sperms Wakaishia Kwenye Ukimwi Bure....tushachoka Kulia Bwana
 
Back
Top Bottom