Iliaanzaje wanawake & wanaume wakajihodhia maeneo ya kulala ?

Mie bachela huwa nalala katikati, mwanzoni, mwishoni, pembeni, mbele au nyuma nalala tu wala sijipi shida...

kuna chembechembe ya uongo hapo juu...

Mara nyingi lazima kunakuwa na pozi la kupumzikia... Na ukilinadilisha,hata usingizi kuupata inakuwa ishu!

Tuwe wakweli..
 
Jamani ! Fix nyingine !
Anne Makinda atudanganye viwango vya malazi vimepanda Dom,
Chenge nae atudanganye mavumba ya Radar hajalamba!
Na wewe pia utudan.... ?
Unfair play !

watu wagumu kuamini jamani.
 
kuna chembechembe ya uongo hapo juu...

Mara nyingi lazima kunakuwa na pozi la kupumzikia... Na ukilinadilisha,hata usingizi kuupata inakuwa ishu!

Tuwe wakweli..

Duuh kweli usolijua ni usiku wagiza..., naweza kwambia leo nimekunywa chai na chapati ukanibishia kisa wewe huwa wanywa na mkate...
 
Kwa Kitanda kua kati mmh ! Sadiki ukipenda!
Hata Shakila aliwahi kuitolea Thrade yake kupitia Wimbo! Akisema ametembea Ulaya hadi Asia hajakuta kitanda kimewekwa KATI kanuni ama ni mila (mie sijui) kitanda huwekwa pembeni.

huyo shakila nae hajatembea......

sio kukariri kuweka pembeni au ukutani, la hasha.....
nimekiweka katu kutokana na nilivyopangilia chumba, na pametoka bomba, chumba hakichoshi tofauti na ukikiweka ukutani kila mara inabd uchange position
 
Back
Top Bottom