Ili dodoma iondokane na laana......................... ..

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
1;Gereza la kunyongea watu[Isanga] lifungwe mara moja.
2;Makao makuu ya chama na serikali yahamishiwe Dar-es Salaam[maana maruhani yatakuwa na gheto kabisa pale]
3;Jengo la bunge libomolewe,likajengwe bagamoyo
4;Hospitali ya vichaa ihamishiwe chalinze!
5;.....................
 
Tatizo lenu wadodoma wabishi...komaeni na kijani yenu muone maisha ktk giza totoro....

aliyekwambia tunapata shida nani? Huku full kujiachia, mabomba ya maziwa kila nyumba. Karibu dodoma, karibu mpwapwa.
 
aliyekwambia tunapata shida nani? Huku full kujiachia, mabomba ya maziwa kila nyumba. Karibu dodoma, karibu mpwapwa.
Huko ntakuja tu ila itabidi nkalale Mbandee au kibaigwa km sio Ihumwa au Mtumba....
 
1;Gereza la kunyongea watu[Isanga] lifungwe mara moja.
2;Makao makuu ya chama na serikali yahamishiwe Dar-es Salaam[maana maruhani yatakuwa na gheto kabisa pale]
3;Jengo la bunge libomolewe,likajengwe bagamoyo
4;Hospitali ya vichaa ihamishiwe chalinze!
5;.....................

Haaahaa:). Nadhani Chalinze pako busy sana kwanini usiisogeze hiyo hospitali mble huko katika njia ya Tanga?
 
aaah! Tumehairisha, hatutaki wageni tena mtatumalizia hewa na upepo.
Haji mtu huko...
Eti mnathubutu kusema "Ninavyoipenda SISIEMU hata ukinichanja damu yangu itatoka ya kijani...."
Ngoja mkipate cha mtema kuni...
 
Back
Top Bottom