Elections 2010 Ilemela mambo mabaya

Status
Not open for further replies.

Mbalinga

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
1,714
1,370
Wana JF nimepata habari kwa ndugu yangu aliyeko Mwanza kuwa watu wenye hasira wamechoma moto ofisi ya ccm na shule moja wapo, kisa kucheleweshwa kwa matokeo, ama kuchakachuliwa. Watu wa Mwanza tupeni uhakika wa hilo
 
Wana JF nimepata habari kwa ndugu yangu aliyeko Mwanza kuwa watu wenye hasira wamechoma moto ofisi ya ccm na shule moja wapo, kisa kucheleweshwa kwa matokeo, ama kuchakachuliwa. Watu wa Mwanza tupeni uhakika wa hilo

Confirmed na Star TV nimesikiliza.
 
Watawala heshimuni nguvu ya umma. Tatizo ndugu zangu ni kuwa CCM na serikali yake wamezoe kuwa wananchi ndio wanawajibika kwao badala ya wao viongozi kuwajibika kwa wananchi. Tumeshuhudia Arusha EL na Viongozi wengine wanahangaika kubadilisha maamuzi ya umma lakini imeshindikana.

Nashauri viongozi kusoma alama za nyakati.
 
hapa jf leo kazi ipo naona watu walilewa sna jana maana wanakuja na hesabu zilizokua hazina mpango.............jamani ee tunaishusha hadhi jf yetu.
 
Confirmed. Diallo ameanguka kwa tofauti ya karibu kura 5,000 yaani amepata kura 26,330 kinyume naa mshindani wake aliyepata zaidi ya 31,000.
 
Sasa si mabaya tena. Kwa kweli wananchi wakishikamana mafisadi hawana ujanja tena. watuwekee sasa kura za raisi kwenye majimbo ambayo CHADEMA imeshinda
 
piga picha we ni mtangazaji wa start tv, unaitangazaje hiyo nyuuuz
 
uzuri ni kwamba watangazaji wa star TV imebd watoe taarifa kiuharisia. Ni Tv inayotoa taarifa za uhakika kwa msirah ya taifa hawchemki hata kidogo wanaijua taaruma yao. Safi sanaaaa
 
They r ril professional. Nimependa the way wanavyopresent japo ni boss wao wamekuwa neutral. Safi sanaaa.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom