ILE ziara ya Rais BUSH hapa TZ.

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Ndugu wachambuzi wa mambo ya SIASA na KIJAMII,
Hivi ile ziara ya Rais George W. Bush hapa TZ iliyo jaa mbwembwe na matarajio makubwa makubwa imeshazaa chochote cha kuelezeka?

Wachambuzi leteni habari.
Au ziara hiyo ilikuwa na Agenda ambayo haikutwa?
 
KUNA MIRADI YA BARABARA MCA KULE TANGA HOROHORO, RUKWA, SONGEA nafikiri iko njiani kuanza muda si mrefu.
 
Kanye West anakuja kupanda mlima Kilimanjaro kama alivyofanya Abromavich hahaaa

Hivi ule mkutano wa Sullivan tulishanufaika???
 
Labda hazijakamilika hizo faida:) au tusikie kwa wakuu wengine pia!Otherwise, labda Bush nae alikuja ili kufaidi yeye na nchi yake.

Exaud, wewe binafsi hukuona chochote kabisa?
 
Back
Top Bottom